JIONEE sidetalks za viongozi wetu msibani kwa Hamad Rashid

Chief Isike

Chief Isike

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2010
Messages
445
Likes
2
Points
35
Chief Isike

Chief Isike

JF-Expert Member
Joined Jan 17, 2010
445 2 35
Sidetalks kama hizi huwa zina umuhimu wake sana, waweza kujua hawa wanazungumza vitu gani?
 
Attachments:

W

WildCard

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2008
Messages
7,494
Likes
104
Points
160
W

WildCard

JF-Expert Member
Joined Apr 22, 2008
7,494 104 160
Halafu wanasema tuvunje MUUNGANO! Kumbe hata kuzikana wanazikana huku bara?
 
lutayega

lutayega

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2012
Messages
1,252
Likes
89
Points
145
lutayega

lutayega

JF-Expert Member
Joined Feb 29, 2012
1,252 89 145
nani amefariki hapo
 
Sangarara

Sangarara

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Messages
13,115
Likes
641
Points
280
Sangarara

Sangarara

JF-Expert Member
Joined Sep 29, 2011
13,115 641 280
Hiki ndicho kinachomtofautisha mbowe na wanasiasa wengine, yuko kwenye mapambano ya ukombozu 24 Hours 7 Days a week.
 
Tumaini Makene

Tumaini Makene

Verified Member
Joined
Jan 6, 2012
Messages
2,619
Likes
310
Points
180
Tumaini Makene

Tumaini Makene

Verified Member
Joined Jan 6, 2012
2,619 310 180
nani amefariki hapo
Mkuu lutayenga

Ukimsoma mwanzisha thread anasema msibani kwa Hamad Rashid, hivyo ni matukio mbalimbali kwenye msiba wa aliyekuwa mke wa Hamad Rashid, Bi. Kissa Gwalugano.
 
Tumaini Makene

Tumaini Makene

Verified Member
Joined
Jan 6, 2012
Messages
2,619
Likes
310
Points
180
Tumaini Makene

Tumaini Makene

Verified Member
Joined Jan 6, 2012
2,619 310 180
Halafu wanasema tuvunje MUUNGANO! Kumbe hata kuzikana wanazikana huku bara?
Si hivyo tu, marehemu mwenyewe, mke wa Hamad Rashid ni mtu wa Mbeya, anaitwa Kissa Gwalugano. Nilisikia jana hicho kitu msibani pale.
 
I

Isango

R I P
Joined
Jul 23, 2008
Messages
295
Likes
8
Points
35
I

Isango

R I P
Joined Jul 23, 2008
295 8 35
Sidetalks kama hizi huwa zina umuhimu wake sana, waweza kujua hawa wanazungumza vitu gani?
Hivi viongozi wa CUF waliofika Msibani, walimpaje pole, huku Mahakamani wamemgaragaza na wanataka kumfukuza Ubunge? Ngumu jamani kuvumilia ki ubinadamu. Hata kama mkizika tofauti za kisiasa, mtu anajua kuwa waliombwaga mahakamani ndo wanakuja kuzika, wamehuzunika pamoja naye au moyoni wanacheka wanasema jamaa aendelee kupatwa na janga. Ngumu kuelewa. Pole sana Rafiki yangu Hamadi Rashid Mohamedi.
 
I

Isango

R I P
Joined
Jul 23, 2008
Messages
295
Likes
8
Points
35
I

Isango

R I P
Joined Jul 23, 2008
295 8 35
attachment.php?attachmentid=73084&d=1354287230

Hapo naona Lukuvi, kanuna asingependa mtu aonyeshe vidole viwili. bahati mbaya hapo ilikuwa msibani, angekuwa sehemu nyingine angekuja juu, kwa jinsi ninavyomfahamu
 
K

Kisindika

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2012
Messages
515
Likes
0
Points
0
K

Kisindika

JF-Expert Member
Joined Oct 19, 2012
515 0 0
Hivi huyu alikuwa mpiga picha wa Mbowe nini? Mbona kila picha msiba mzima Mbowe yupo?
 
Zamaulid

Zamaulid

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2009
Messages
17,105
Likes
7,435
Points
280
Zamaulid

Zamaulid

JF-Expert Member
Joined May 25, 2009
17,105 7,435 280
samani wakuu naomba kufahamu,wanaume tunapokuwa tuna zika wanawake huwa wanakuwa wapi na wakifanya nini!!!!
 
mjombo's

mjombo's

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2011
Messages
494
Likes
1
Points
35
mjombo's

mjombo's

JF-Expert Member
Joined Oct 21, 2011
494 1 35
Hivi huyu alikuwa mpiga picha wa Mbowe nini? Mbona kila picha msiba mzima Mbowe yupo?
ngoja aje atoe ufafanuz coz anaongelea viongoz we2 kumbe target ni mbowe na lukuvi, ni vizuri angelispecify hili kwenye thread yake
 
N

Ngekewa

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2008
Messages
7,725
Likes
27
Points
145
N

Ngekewa

JF-Expert Member
Joined Jul 8, 2008
7,725 27 145
Halafu wanasema tuvunje MUUNGANO! Kumbe hata kuzikana wanazikana huku bara?

Hilo tu linakushangaza? Hata magorofa wanawajengea watu Bara sio kwao. Huwa najiuliza wanaonufaika ni nani hasa?
 
N

Ngekewa

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2008
Messages
7,725
Likes
27
Points
145
N

Ngekewa

JF-Expert Member
Joined Jul 8, 2008
7,725 27 145
Hivi viongozi wa CUF waliofika Msibani, walimpaje pole, huku Mahakamani wamemgaragaza na wanataka kumfukuza Ubunge? Ngumu jamani kuvumilia ki ubinadamu. Hata kama mkizika tofauti za kisiasa, mtu anajua kuwa waliombwaga mahakamani ndo wanakuja kuzika, wamehuzunika pamoja naye au moyoni wanacheka wanasema jamaa aendelee kupatwa na janga. Ngumu kuelewa. Pole sana Rafiki yangu Hamadi Rashid Mohamedi.
Kwani udugu unafutika kwa tofauti za kisiasa? Tabia ya kuona vioja tofauti ya maoni nasikia iko CCM na hasa kule Zanzibar ikiongozwa na muuza mataputapu.
 
Forum statistics

Threads 1,236,773
Members 475,220
Posts 29,268,046