Jinsia ya money stuna

post zakuchambana zimekuwa utitiri nakuwatu humu wanafukuzia umaarufu kama alionao kahaba director Joan kule IG wenyewe humwita sijui nani Master sasa naona nahumu kunamtu anautaka kwa nguvu umaruufu huo hana udaku nondo amebaki naviabari vyepesi kama bambino
 
Jamanii taratibuuu warumi na MONEYstunna ni wanaumeee labda kama kuna menginee
OVER
 
Last edited by a moderator:
Jf bhana!una wasiwasi wa nini ebu funguka,usiogope jombaa.
 
badiebey hebu tuweke sawa hapa maana wewe ndio wamjua vizuri mpenzio
ni mwanaume kamiliiiiii,tena sanaaa...he's js into news and current events esp of Celebrities....vipi kwani mna mashaka nae,na picha mshaziona,na six packs juu...
 
hahahaha bado wewe jerry ndo naandaa yako hapa

yani watu sijui wakoje mtu anaanza tu


"miss neddy mbona anaonekana ana nyodo, afu ni kama ana miaka 27, bla bla kibaaaooo tena mwandishi ni mwanaume kabisaa.

mi utaandika nini sasa? haaaa utaona unaulizwa "who z J BTW?"


Sent from my iPad using JamiiForums
 
ni mwanaume kamiliiiiii,tena sanaaa...he's js into news and current events esp of Celebrities....vipi kwani mna mashaka nae,na picha mshaziona,na six packs juu...

wacha weee, 6packs juu na chini________ natania tuu


Sent from my iPad using JamiiForums
 
Jamani kidume ukae Ulaya alafu umbea wote wa bongo we unao kuna namna apa si bure

kwani kuna shida gani? tofauti si masaa tu wht makes such a significant difference? watu kibao tu wako nje ya Tz na wako updated kuliko hata ambao walio Tz. We mbona huulizi kama shigongo ni mwanamke au mwanaume...aaah bwana we una lako labda


Sent from my iPad using JamiiForums
 
uwaache wahabarishaji wetuuuuu
we mwenyewe kuja kuwaulizia habari zao ni nini kama si umbea???????
 
mimi nina dushelele nne, na zote zinapiga kazi kama kawaida, je mimi ni nani??
 

Hahahaha umeona eeeeh watu wengine wanatafu kick tu

.jerry yako itakuwa suprise maana nitakayoyaandika siri yangu
 
Hivi na mie nataka kujuaa hivi Kazitunayo ni me /ke samahanini wanaojifanya hawapendi umbeyaa wakati wakiona uzi wao wa kwanzaa kuchangiaa hahhhhhhhhahhhha
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…