vanquisher
Member
- Sep 24, 2019
- 53
- 64
Tusilazimishe usawa pasipokuwa Sawa. Wanajeshi wanaowajibu mkubwa na muhimu katika Taifa na hawapaswi kupoteza muda popote kwa maslahi ya Taifa. Mfano:
1. Gari inawaisha siraha zikatumike, likae foleni ili iweje?
2. Kuna gwaride pahala, lisimame kumsikiliza traffic ili iweje?
3. Kuna ulinzi wa dharula ktk mpaka Fulani, gari iende taratibu ili tuvamiwe?.
4. Jeshini kuna Vetting halisi, MTU hapati uafisa au cheo kizembe zembe hivyo ukiandika ajari imesababishwa na uzembe wa Dereva wa jeshi, unalidhalilisha jeshi na Taifa.
5. Wanajeshi wanajitolea uhai wao kwaajili ya amani, utulivu, maendeleo na ustawi wa Taifa, tuwaache wapate hizo stahiki ingawa hata hazitoshi.
6. Tuwatendee wema wanajeshi wetu kama hisani kuwalipa kwa uzalendo wao.
7. Wakati tupo online kuchat na kuandika upuuzi hapa JF, wanajeshi wako attention angani, ardhini na majini kutulinda sisi
Kwa nionavyo jeshi letu la ulinzi lina superiority complex Kwa sababu ya historia yk.
Majeshi ya Somalia, libya, Iraq, hayana superiority complex Kwa sababu ni madhaifu Sana raia wanawadharau mno.
Kuna nchi nyingine ukisema ww ni mwanajeshi ni aibu maana raia wanadharau majeshi yao sababu ya usalama mbovu uliopo kwenye nchi hizo.
JWTZ Acha watambe maana heshima yao wameijenga Kwa kutumia Nguvu, akili, na damu.
Ingawaje Kila mtu ni muhimu Kwa nafasi yake.