Wakati naangalia taarifa ya habari ITV,
Nimemuona kamanda wa jeshi anaripoti kuhusu ajali ya gari la jeshi lililoua wanajeshi wawili wasiokuwa na hatia huko Kigoma na wengine wengi kujeruhiwa vibaya!
Kamanda alivyoripoti tukio
Kamanda wa jeshi anasimulia kuwa!
Chanzo cha ajali hiyo ni kwamba Dereva wa gari la jeshi lilimshinda nguvu na kupoteza mwelekeo! (FULL STOP)
Kamanda akiwa anaripoti ajali kwa magari mengine ya kiraia
Chanzo cha ajali hii ni mwendokasi pamoja na uzembe Wa Dereva huyu kwa kutozingatia sheria za usalama barabarani jambo lililopelea vifo **** na majeruhi ****; Tunamshikilia dereva kwa mahojiano zaidi maana alionekana pia kuwa ni mlevi!
Je; Hivi huko barabarani huwa kuna sheria mbili!? kwanini ripoti ziko tofauti!?
Maana hata mijini tunaona haya magari ya jeshi yanavyopita upande usiokuwa wake lakini hatuoni kiongozi yeyote akitoa kalipio.