Jinsi ya tumtoa kuku kumbukumbu!!

Jinsi ya tumtoa kuku kumbukumbu!!

Mara nyingi unapotaka kumuachisha kuku vifaranga au unapotaka kuchukua mayai ya kuku anaejiandaa kutamia kuku huwa mgumu kusahau na huendelea kulalia ingawa umemuondolea mayai. Sasa chukua ndoo iliyojaa maji, mshike kuku husika kisha mzamishe kwenye maji kwa sekunde mbili kisha muachie aende! Baada ya kumuachia utaona kuku anatoka spidi kama vile kachanganyikiwa, na hatakumbuka watoto wala mayai. Baada ya muda mfupi kuku ataanza kupandwa tena!!
NB: Kuku wengine hurudiwa na kumbukumbu baada ya muda!!!

Nlijuwa uswahili
 
Mfungie kwenye banda masaa 24 bila chakula wala maji! Akitoka tu, hana habari kabisa ya kuatamia.
 
hahaj hiyo ni mechanism ya kisayansi ..unamuondoa Joto na kumpooza damu kwa lazima .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom