Jinsi ya tumtoa kuku kumbukumbu!!

Jinsi ya tumtoa kuku kumbukumbu!!

nilijua tyu wachaga watakuja sababu ndo mishe zetu

all of all thanks mtoa mada
 
nimesikitika sana baada ya kusoma hii thread, machozi yamenitoka na nimeumia sana nikakumbuka kuna siku nlikula nyama ya kuku ilikuwa imepoa, haina ladha,ngumu na hata rangi yake ilikuwa nyeusi. nimehusisha na kisa hiki kuwa inawezekana yule kuku alifanyiwa ukatili wa namna hii.hivyo akaishi akiwa amechanganyika na amefanyiwa factory default hivyo ameathirika kabisa hadi kwenye nyama.

lakini nikawa inawezekana pia alikuwa na majonzi na msongo wa mawazo na hivyo kupelekea kuishi kwa mawazo kipindi chote mpaka anakuja kuchinjwa. tafadhari wadau msiwatendee hivi hawa wanyama pendwa kabisa hapa nchini.
 
Haah haaa!! Umezingua!!
 
Duh!
Au umeongea kwa mafumbo jinsi ya kumtoa lowassa chadema??
 
Hivi kwa kuyaangalia mayai kwa macho waweza gundua kama hayana mbegu ya jogoo? Hebu nipe huo utaalamu mpendwa itasaidia wengi...
Kwa Kuangalia nje ya ganda sina utaalamu huo ila najua kwa kupasua yai na Kuangalia ndani. Kingine kumchunguza kuku wako kama a nakubali kupandwa au lah au kama jogoo wako anachagua mademu au lah . Kama jogoo anachagua si mzuri
 
Miezi kama mi3 iliyopita nilimuona kuku ametoswa maji alikuwa anatetemeka sana mpk anatia huruma, nilipouliza kwanini ametoswa maji nikaambiwa atavunjika miguu kwa kulalia sana miezi na miezi.

Nikawaambia msirudie tena hiki kitendo na kuwashauri wachukue baadhi ya mayai ya kuku mwengine wakamuwekea yeye.

Baada ya kutotoa kuku aliendelea na ulezi na maisha yake ya kawaida.
 
Back
Top Bottom