Jinsi ya kuzuia na kupunguza hasira

Habari, mimi ni mtu mwenye hasira haraka (short temper), sometimes naishia kuvunja vitu nyumbani,na mambo madogo madogo huwa yananipa hasira zaidi. Siipend hii hali,, nifanyaje??

Kuvunja simu,video nk.Hayo ni kawaida Mkuu.
Je? Kama hakuna cha
kuvunja au MNYONGE wako hasira unazipeleka wapi?
 
Mkuu kuna njia nyingi za kupunguza hasira. Moja ni kudhamiria kwamba naondoa hasira, nakujiambia napunguza hasira moyoni weka nia na lengo, lkn pia njia nyingine ni kulala kifudi fudi kila unapopata hasira. Lala chini mpaka utakapoona hasira zako zimeisha.
 
Habari, mimi ni mtu mwenye hasira haraka (short temper), sometimes naishia kuvunja vitu nyumbani,na mambo madogo madogo huwa yananipa hasira zaidi. Siipend hii hali,, nifanyaje??
Fanya meditation
Punguza sana ulaji wa nyama na chochote chenye vitunguu vingi
Punguza matumizi ya chumvi na kahawa
Kila hasira zinapokujia vuta pumzi tatu ndefu
 
Ooh,, nakula sana nyama,, napenda sana vitunguu hasa kwenye mboga, wali, mayai kachumbali maweka ving kwel, na pia ni mlaji mzur wa chumvi,, ntajitahid kupunguza au kuacha hope itasaidia,, asante wang
 
nakula nyama dayly vitunguu sana hata asubuhi kwenye chai pilipili na nina jazba ukinikorofisha kidogo navimba kama swila
 
Punguzeni matumizi ya hiyo kitu mtaona Mabadiliko makubwa japo msitegemee matokeo ya haraka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom