Jinsi ya kuzuia matangazo kwenye simu

Jinsi ya kuzuia matangazo kwenye simu

Mruma J

Senior Member
Joined
Jan 27, 2018
Posts
123
Reaction score
82
Habarini za jioni wapendwa wana JF nina shida kwenye simu yangu kila nikianza kuitumia kuna mda inastak halafu linakuja tangazo mara la TALA au BRANCH saa nyingine tangazo la magari hivyo naomba mwenye msaada jinsi yakuzuia matangazo hayo anisaidie tafadhali au kama kuna app yakuzuia mnisaidie..

Natanguliza shukurani wakuu
 
Fanya restore factory settings.....ila itabid upoteze kila kitu kwnye simu....otherwise uhamishie data zako kwnye device nyngne........
 
Kuwa specific mkuu huwa yanatokea pindi ukiwa unatumia browser au yanakuja tu kwenyr simu ?
 
Hayo matangazo hutokea popote pale ama mpaka ukiwa kwenye browser unaperuzi?

Pia unatumia simu gani?
Natumia sim aina ya Alcatel na hata kama simu iko scrin of nikitaka kuitumia tu nikiminya batani mpaka nikute tangazo halafu lina alama ya x nikiibonyeza linaondoka ndo nianze kutumia simu halafu kidogo linakuja tena yaani hakuna raha
 
Fanya restore factory settings.....ila itabid upoteze kila kitu kwnye simu....otherwise uhamishie data zako kwnye device nyngne........
Hiyo ndo naikwepa maana simu yangu ina app zakununua nikifanya restor factory seting nihasara sana
 
Mfano ni huo limeingia tangazo hili wakati nipo humu jf
Screenshot_20180805-205356.jpg
 
Natumia sim aina ya Alcatel na hata kama simu iko scrin of nikitaka kuitumia tu nikiminya batani mpaka nikute tangazo halafu lina alama ya x nikiibonyeza linaondoka ndo nianze kutumia simu halafu kidogo linakuja tena yaani hakuna raha
Alcatel gani? Nenda setting kisha about then nisomee model
 
Back
Top Bottom