jinsi ya kuweka picha

jinsi ya kuweka picha

TUNTEMEKE

Platinum Member
Joined
Jun 15, 2009
Posts
4,587
Reaction score
581
naombeni munielekeze jinc gan nitaweza kuweka picha kwenye jf kupitia cm yangu N95 8GB,ili nami niweze kuweka picha za matukio mbalimbali.
 
Wadau leteni majibu jamani mimi natumia Nokia E61i nina shida kama hiyo na hata yuotube haichezi msaada tafadhali.
 
Nashangaa walituwekea hiyo option kwenye mobile default ila wakaitoa!!Sasa hivi ujaribu kwa kutumia PC mode alafu ufanye kama vile unatumia pc.Binafsi nimejaribu ila imekataa kwasababu kuupload haitaki...na nikitaka kutumia ambazo nilishaupload tayari sowezi kuzidrag niziweke pale zinapotakiwa kwasababu nikifanya hivyo nakua nazoom!!Kwahiyo jaribu PC MODE labda kwako itafanya kazi fresh!!
 
Back
Top Bottom