Jinsi ya kuwa Tajiri

Jinsi ya kuwa Tajiri

Toka mjijni ulipo, nenda vijijini sehemu yenye ardhi kubwa na yenye rutuba na mvua nyingi. Nunua ardhi kama unaweza heka kuanzia 50 hivi. Nunua mbuzi au ng'mbe anza kufuga. Jenga nyumba ya kawaida ya miti na udongo, hakikisha mifugo inazaliana kila mwaka. Endelea hivyo hadi kundi liwe kubwa mbuzi kama 1000 au ng'ombe kam 150 hivi. Hii inahitaji uvumilivu wa kama miaka 10 na baada ya hapo utakuwa na angalau million 100, hizi zinatosha kutokea.
 
WUDI
Ila ujiandae kuikosa mbingu! ningekushauri uwe mtu wa kati ili usije ukamsahau MUNGU na kulikufuru jina lake!
 
Last edited by a moderator:
Karibu katika chama chetu umaskini utakuwa ni historia kwako...karibu sana
 
WUDI
Many have sold their souls to the devil for fame,power and riches. But what shall profit a man to get the whole world and end up in hell.
 
Last edited by a moderator:
Kuna utajiri huko?na ni wa aina gani?tujuzane mkuu

Weeeeee.........usijaribu..........kuku anarushiwa mahindi ndugu yangu........idadi atakayokula ndio miaka yako ya kuishi na huo utajiri........kuku mwenyewe anakuwa kashiba ndiii.......akila sana punje mbili........na ukidanja mali zinakufuata..........
 
WUDI
1Timotheo 6:9-10 "Lakini hao watakao kuwa na mali huanguka katika majaribu na tanzi, na tamaa nyingi zisizo na maana, zenye kudhuru, ziwatosazo wanadamu katika upotevu na uharibifu. Maana shina moja mabaya ya kila namna ni kupenda fedha....."
If you believe in Bible then that verse will be helpful
 
Last edited by a moderator:
Unataka kuwa tajiri ? Ni rahisi sana. anzisha biashara yoyote hata kuuza genge halafu fanya yafuatayo.
Usile nyama.
usiwe na nyumba ndogo.
usizae mapema
usijenge nyumba
acha pombe
Niletee beberu moja, bafta jora moja vitenge vya waxi 2 na khanga upande mmoja uliotumiwa na mkeo na elfu kumi.
subiri miaka mitano na utaona matokeo
 
WUDI
Nenda Makanisa ya Manabii kule wanaombea watu utajiri kwa jina la Yesu. Wengi wanatoa ushuhuda!
 
Last edited by a moderator:
Kwa gwajima huchelewi mara moja tu puh. Yanakemewa mapepo ya ulofa baaaaas weye unakuwa tajiri wa kutupwa.
 
Utajiri si dhambi. Weka malengo yako kabisa. Unataka utajiri lazima uanze kufikiri shughuli ya kufanya kukungizia kipato cha kutosha. Mawazo yawe ni yako mwenyewe! Jifunze kuwekeza katika nyanja tofauti. Kuwa mwangalifu katika matumizi yako. Usisahau kusaidia wahitajI.
 
Utajiri si dhambi. Weka malengo yako kabisa. Unataka utajiri lazima uanze kufikiri shughuli ya kufanya kukungizia kipato cha kutosha. Mawazo yawe ni yako mwenyewe! Jifunze kuwekeza katika nyanja tofauti. Kuwa mwangalifu katika matumizi yako. Usisahau kusaidia wahitajI.

Kabisa kabisa
 
nenda kwa shekhe yahaya magomeni!
 
Jiulize, wote hao wanaokupa 'njia' za utajiri wao tayari ni matajiri? Kama sio, hawataki au?
 
WUDI
Kuwa tayari kuukosa ufalme wa mbinguni.utakua tajiri.ila utajiri huo hautazikwa nao,
Utakufa,utauacha.

Tajiri kuingia peponi ni sawa na ngamia kupita kwenye tundu la sindano.
Kheri anayecheka sasa maana baadaye atalia na kusaga meno.

Umasikini si kilema.

Kheri anayelia sasa maana baadaye atacheka.

RIDHIKA NA UNACHOKIPATA ILA USICHOKE KUTAFUTA.

imeandikwa UTAKULA KWA JASHO.
 
Last edited by a moderator:
Fanya kaz kwa bidii vinginevyo utaendelea kuwa maskin na utakufa na umaskun wako
 
Back
Top Bottom