Jinsi ya kuwa romantic

Yaani kuna mianaume haiko romantic jamani hadi kero, yaani kuwa nao hataa genye hupati, wapo wapo tuu, serious na busy utafikiri wanaumba watu, yaani hawa kuwasaliti ni hasubuhi na mapema.

Lakini alikuwa hivyo tangu anakutongoza?
 
BEing Romantic is an art hufundishwi inatokea tu baada ya kuwa na nia na mapenzi ya dhati!

N.B tafuta hela kwanza.
 


Mambo yenu ya tamthilia hayo. Wengi hapa watajidai romantic lakini kwenye real life hamna kitu.
 
ukiwa na pesa automatically unakuwa mromantic, kuna mtu somewhere anamuona wassira ni handsome!
 

Hapa nimekukubali
 
Last edited by a moderator:

Mahari amedai ila baba wa binti kampa kavu kwamba ametuharibia binti wetu na kama akichukua mahari na mtoto amsahau maana mtoto amezaliwa kabla ya ndoa ISLETS
 
Last edited by a moderator:
Mahari amedai ila baba wa binti kampa kavu kwamba ametuharibia binti wetu na kama akichukua mahari na mtoto amsahau maana mtoto amezaliwa kabla ya ndoa ISLETS

haina shida.. hiyo mahari ni kuiacha tu...
na hata waking'ang'ania na mtoto sawa tu wakae nae ila wasidai hela ya matunzo, wakitaka amgharamie mtoto basi wampe akae naye...

lecturer akubali tu kapigwa chini...so asihangaike ye atafute atakayemfaa tu.
 
Last edited by a moderator:
Mambo yenu ya tamthilia hayo. Wengi hapa watajidai romantic lakini kwenye real life hamna kitu.

Hebu tutolee hapa na wewe , umekazana tamthilia tamthilia kaa huko na ugumu wako . kama huwezi kuwa romantic acha wengine wawe. Kumtoa out mpenzio ni tamthilia, kununua hata leso as suprise ni tamthilia ? Kumtumia sms mchana ya mahaba ni sinema? kushirikiana naye kufua au kupika ni sinema? umeambiwa little gestures zinazoapply kwenye maisha yako .
 
very correct labda nikazie Nyie wawili mkiwa na maendeleo no stress ndogondogo hata mapenzi yananoga

Jamani mume ni lecturer mzumbe na Mke yupo TRA HQ ,tatizo la maendeleo kwa hao Wawili lipo wapi ?
 

punguza jazba,tunatofautiana humu.....tena pretenders ndio wengi.

hivi pesa huwa zinatosha?

kwako wewe hazitoshi kamwe,hivi wewe nikikupa hela na kukufungulia mlango wa gari utachagua kipi?

Hivi dada yangu unadhani unaweza kumuelewa mr mihogo RRONDO kweli?

We wala hunisumbui kichwa,ugonjwa wako pesa tu,hayo ya tamthilia wala hayakuhusu.

Teh basi wenzako hadi kwenye real life tupo hivi hivi na hamna hata cha tamthilia, na wewe utakuwa tu romantic in your own way. If u don't mind, huwa unamspoil vipi baby wako?

Heri yenu.....sina baby.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…