Freelancing siyo lazima mtandani kwenye hizo sites. Hata hapa hapa bongo kuna freelancing activities nyingi unaweza kuanza nazo.
Mimi katika kikampuni changu nafanya na freelanser 4. Mmoja ana run social media na graphics, mwingine anakuja once a week kuweka hesabu sawa na mambo ya tra ( ana cpa ), Mwingine ni system admin anakuja once a week kufix na ku monitor IT systems na mwingine anafanya deriveries..ana boda boda.
Na hawa vijana wote wanafanya kazi zaidi ya sehemu moja na wako vizuri.
Pili freelancing is not for everyone. Kuwa freelancer unahitaji.
1. Kujua kile unachokifanya. Yaani siyo ubabaishaji. Uwe unajua haswa.
2. Hard working. Uwe unapiga kazi kama chizi. Maana wateja wako wengi wanakuwa wa last minutes.
3. Nidhamu. Uwe na nidhamu ya hali ya juu.
4. Usiwe na tamaa, kama uko busy na kuna mtu anata kukupa kazi ya muda mfupi. Mwambie ukweli..kuwa ungefurahi kufanya naye kazi lakini tayari una kazi nyingine.
Kazi nyingi za freelancing zinapatikana kwa referals, word of mouth. Ukifanya vizuri client wako wata ku refer kwa marafiki zako.
Kazi zinapoanza kuwa nyingi tafuta mtu wa kukusaidia. Mfundishe awe na viwango kama vyako, lakini usimtangulize jwa wateja. Mwache back office...slowly anzisha kampuni.
Nawatakia kazi njema