Gemini Are Forever
JF-Expert Member
- Sep 10, 2019
- 1,550
- 2,753
Sina mkuuNo Escape said:Una kitambulisho cha taifa?
Andaa na passport size 3
😂😂mcharazo sioUtakua na tatizo la Problems na Troubleshooting, jitahidi kuandika kwa kurembesha mwandiko tena ule wa kulala.
Kila la kheri
Kimwerymdodo5 mbona Jamii Intelligence nakomment? Kwan we kule huwez kukoment? Habari na hoja mchanganyiko ndio ilikuw inanipa shida. Ila sasa mambo yanaenda sawia.