Jinsi ya kuwa 'anonymous' kwenye mtandao

Jinsi ya kuwa 'anonymous' kwenye mtandao

kiroboto21... snipa anavyokuambia uache siasa, na mimi ninavyohoji kama una technical know-how kuhusu hiyo mifano ya waliokamatwa, point ni hii: Hapa our arguments are logical. Simple.

Umetupa mfano abstract sana, halafu unasema unayo mingine mingi, lakini haijitoshelezi kuitumia kama hoja ya kusema kuwa huwezi ukajificha mtandaoni, na kwa vyovyote vile utakamatwa hasa na wazungu (nadhani ndicho unachomaanisha). Yani tayari hapa ni anecdotal na unwarranted assumption fallacies umefanya.

Ninavokuuliza kuhusu technical know-how, ni kwamba je, unaifahamu hiyo case vizuri kiasi cha kusema kuwa jamaa alijificha vyema na bado akashikwa? Unaweza ukaieleza kitaalam na kuweza kutushawishi wengine kwamba ni kweli alijificha vema na kwa hali ya kawaida asingeshikwa? Ukiielezea hiyo case, sisi hatutoweza ku point out makosa yake yaliyosababisha akashikwa? Kama jibu la swali lolote hapo ni hapana, ndio tunasema unaleta siasa.
 
Last edited by a moderator:

Sasa hapo ndugu unenielewesha kabisa na nimekuelewa,kiukweli huyu jamaa kabla ya kupata kaz ubalozi tulikuwa tunaishi mtaa m1 na na nyumba moja yani tulikuwa tunaishi gorofa ya 5 yeye akiwa na logement yake nami nikiwa na logement yangu lakin baada ya kupata uyo mzungu ndo akapata kaz ubalozi ndugu lakin silijui kiundani sana lakin jamaa alikuwa msiri sana na hata katika izo deal zake mke wake alikuwa hajui,kaja tu kushangaa polisi wanaenda kwake na wanamtaka mme wake ndugu,so naweza sema jamaa alikuwa anafanya kisiri sana na ndo mana naamini hawa watu au serikali zilizoendelea zikiamua kakutafuta zitakupata tu,nafikili umenielewa ndugu na ahsante sana kwa kunielewesha
 
Last edited by a moderator:
snipa

Lakini Tor functions more than just spoofing the IP. Inaestablish connections na kutransfer requests in such a way that even ISP's au eavesdroppers can not understand your traffic kwa kuobserve the headers. It is absolutely safe as long as the other pieces of the puzzle i.e the OS, browser e.t.c are also secured and anonymized.

Tor is not much trustable, atleast you're just using it for doing legal stuffs like surfing.
But illegal stuffs one's must not trust TOR only.
Kama unatumia tor ku access websites request yako kwenye site itakua routed through tor network, ambapo ni kazi sana kwa mtu wa kawaida kukutrace.
Lakini ni rahisi kugundua your request is coming from a tor endpoint na ni possible ku calculate route ambayo ur next request will going to take.

Kwa kutumia Tor una uhakika hakuna jinsi hata CIA au NSA can understand that communication. Ndio maana wenyewe wanaitumia kujificha wanapokuwa undercover au kwenye sting operations au whistleblowing refer to the link above.

NSA are very clever bro just read the karspesky lab report according to Equation group, you'll see how NSA play around with Tor and those vBulletin.
 
Last edited by a moderator:
snipa,vulnerabilities za Tor nyingi ni zile ambazo ziko juu ya uwezo wao, as in ni loopholes found further down the protocol stack (that is why in the tutorial the point of getting secured all the way is stressed) na kwa hili hakuna any software itakayo guarantee 100% privacy especially when you are under strict surveillance. Na pia kuestablish na kutrap the complete two-way communication ya Tor ni ngumu and thats why the vulnerable point is the point where a request leaves the Tor endpoint and heads to the receiver, especially kama haikupitia SSL na kuwa encrypted na inahitaji eavesdropper au attacker ajiposition somewhere between these two nodes at the time of transmission. This complexity required for a successful infiltration is an added advantage.

Ila, tukija kwenye personal skill ya mtu, inaweza kudetermine his or her capability of staying anonymous au ensuring privacy online hata kama yuko under surveillance. And this matters greatly.

The tutorial given in the thread gives you a best shot at attaining anonymity hata kwa mtu mwenye basic knowledge. Let the dirtier work be handled by pros.

Hao Equation group ambao wako alleged kuwa affiliated na NSA kwakweli ni hatari. Hii ishu ya HDD firmware malware niliionaga siku nyingi lakini sikujua the full extent ya hawa watu. Lakini, to prove my point kuwa skill matters, Kaspersky Lab wenyewe wamesema kuwa in some instanced the group tried to attack systems using its exploits and cancelled midway after seeing failure is imminent. Securing and anonymizing yourself is possible.
 
Last edited by a moderator:
kiroboto21

Wakiamua kukutafuta kwa kweli kazi unayo tena sio kidogo.

Lakini pia unaweza ukawakwepa kutegemeana na skill level yako.

Mfano Edward Snowden whistleblower aliyekuwa analyst wa NSA...hawajampata...kuna vikundi maarufu vya hackers ambavyo vimewaattack kabisa lakini havijapatikana hadi leo.

They have a chance of getting you. How good or small depends on your skill and wits.
 
Last edited by a moderator:
Sasa hapo ndugu unenielewesha kabisa na nimekuelewa,kiukweli huyu jamaa kabla ya kupata kaz ubalozi tulikuwa tunaishi mtaa m1 na na nyumba moja yani tulikuwa tunaishi gorofa ya 5 yeye akiwa na logement yake nami nikiwa na logement yangu lakin baada ya kupata uyo mzungu ndo akapata kaz ubalozi ndugu lakin silijui kiundani sana lakin jamaa alikuwa msiri sana na hata katika izo deal zake mke wake alikuwa hajui,kaja tu kushangaa polisi wanaenda kwake na wanamtaka mme wake ndugu,so naweza sema jamaa alikuwa anafanya kisiri sana na ndo mana naamini hawa watu au serikali zilizoendelea zikiamua kakutafuta zitakupata tu,nafikili umenielewa ndugu na ahsante sana kwa kunielewesha

Mkuu, jibu hapo ni fupi na rahisi tu.

Kama jamaa alikuwa akishughulika na ma-deal yake kwa kutumia computer na vifaa vingine vyenye kutumia mtandao ambao umeunganishwa na hizo ofisi, basi kukamatwa ni rahisi.

Sababu ni kwamba kuna admins ambao wanachungulia mienendo ya watumiaji kwenye iyo ofisi na hao admins ndio walompa akaunti ya kuwa anatumia kwa emails.

Lakini ofisi nyingi hasa za kimataifa kama balozi na mashirika mengine wanakuwa na admins wao kulinda matumizi ya vifaa vyao hapo ofisini.

Hivyo kama unavyoeleza kwamba alikuwa akifanya "deals" fulani kinyume na matakwa ya ofisi basi admins ndio walogundua hila hizo na kuwataarifu polisi kwa kuwapa "facts" zote za jamaa.
 
Wakuu, katika pitapita zangu niliamua kulitazama hili suala la kuwa anonymous hasa unapotumia internet.

Kuna sababu nyingi za mtu kutaka kuwa anonymous mtandaoni, mfano kujilinda na kutaka kujihakikishia kuwa hakuna atakayeweza kufuatilia mienendo yake binafsi. Hapa ninaongelea the right to privacy, au kutaka kujifunza tu. Na hicho ndicho kilichonisukuma mimi kushare nanyi jambo hili.

Kuwa anonymous mtandaoni kuna maana kubwa ya kuwa na identity ambayo haihusiani na wewe na hivyo mambo yote utakayofanya mtandaoni yasiweze kufuatiliwa na mtu yoyote au kuwa traced kwako. Hapa naongelea kutumia mtandao kama 'mtu' mwingine wa kufikirika, kwa njia salama zaidi.

Kwa maana hiyo, unakuwa na personalities mbili tofauti ambazo hazilandani kwa lolote na hazijuani kabisa. Moja ikiwa ni wewe hasa, huku ukiendelea na maisha yako na matumizi yako ya mtandao kama kawaida na nyingine ikiwa ni 'anonymous' - wa kufikirika, ambaye hayupo na hajulikani. Watu hawa wawili hawatakiwi kufanana au kushahibiana kwa lolote (mfano email, namba ya simu, mahala pa kuishi, tarehe ya kuzaliwa, JamiiForums ID) wala kuwa na mawasiliano ya aina yeyote....kila personality inatakiwa kuwa na characteristics zake kama mfano tajwa hapo juu. Hili ni muhimu sana.

Kitu kingine kwako utakayeamua kuwa na anonymous online identity: USIMWAMBIE MTU YOYOTE hiyo identity. Simple.

Maelezo yote yapo kwenye hii PDF document iliyo attached. Itakuelezea A to Z za hii concept. Good luck and take care!

ONYO: Hili ni somo tu. MATUMIZI YA HIYO ONLINE IDENTITY YAKO NI JUU YAKO. ZINGATIA SHERIA.

https://piwik.org/wp-content/uploads/2012/01/How-to-remain-anonymous-online.pdf

Karibuni kwa mjadala na maswali kuhusu hili.

Mkuu, mimi nimepitia hiyo article na ni ya 2011.

Mwandishi anashauri jinsi ya kutengeneza hiyo Anonymity jina na pia namna ya kutumia mtandaoni.

Lakini hali kwa sasa si rahisi hivyo kwa mtu kujificha saana.

Ntaeleza kidogo na mimi mchango wangu hapo baadae.
 
Sasa hapo ndugu unenielewesha kabisa na nimekuelewa,kiukweli huyu jamaa kabla ya kupata kaz ubalozi tulikuwa tunaishi mtaa m1 na na nyumba moja yani tulikuwa tunaishi gorofa ya 5 yeye akiwa na logement yake nami nikiwa na logement yangu lakin baada ya kupata uyo mzungu ndo akapata kaz ubalozi ndugu lakin silijui kiundani sana lakin jamaa alikuwa msiri sana na hata katika izo deal zake mke wake alikuwa hajui,kaja tu kushangaa polisi wanaenda kwake na wanamtaka mme wake ndugu,so naweza sema jamaa alikuwa anafanya kisiri sana na ndo mana naamini hawa watu au serikali zilizoendelea zikiamua kakutafuta zitakupata tu,nafikili umenielewa ndugu na ahsante sana kwa kunielewesha
Nilikuwa napitia hizi comment ili nijifunze kitu naona bado umekosea swali uliloulizwa haya na maswala ambayo ni very technical na lazima utoe technical explanation . Bado hapa umetoa maneno ya kusikia tu wadau wanataka useme huyo jamaa alikuwa anafanya nini na aliinsure vip anonymity na polisi wakatumia mbinu gan kumkamata. Sorry to say

Mghosi
 
Kutumia jina la kufikirika aka anonyimous kunahitaji kufahamu mambo ya msingi au kwa kiingereza "basic facts".

Mitandao yote ya kijamii huhitaji anuani ya PC yako yaani IP address na unapogonga link ya kujiunga basi anuani hiyo inasajiliwa kwenye mtandao huo na pamoja na mambo mengine mfumo wa computer wa huo mtandao unakuwa unakusanya taarifa za kuhus ni mtandao upi mwingine unatokea kabla hujaenda hapo kwa mfano kutoka google kwenda JF au JF kwenda FB au Tweeter.

Pia hukusanya taarifa ni browser gani unatumia, OS gani unatumia na ni muda gani unatumia mtandao huo kama ni masaa mawili au na kuendelea.

Pili, search engine zote kama google na yahoo huwa zinahifandhi taarifa zote za PC yako pale unapofanya udukuzi au search kuhusu jambo lolote.

Tatu, na hii inahusu JF , Facebook, Tweeter na wengine hawa huwa wanaweka kitu kinaitwa "plugin button" na ukiangalia kwenye mitandao hii kuna hizi pugins nyingi zinazokuelekeza wewe mtumiaji kugonga ama iwe like au kwenda huko kwao ili kufuatilia mambo yanayojiri kwa wakti huo au yaitwa kwa kiingereza "trends". hivyo hwa wote wana uwezo wa kukutrack down mwenendo wako kwa kutumia "IP address" yako.

Nne, mtoaji huduma za mtandao wa internet au ISP (internet Service Provider) wanafahamu uwezo wa PC yako kusafiri mtandaoni na wana taarifa zote za wapi unavinjari. Hivyo hata kama umetoa taarifa za ukweli lakinipia unajifanya anonyimous basi kazi hiio ni bure.

Hivyo basi uwezo wako wa kujifanya anonymous mtandaoni ni kwa ajili ya kupunguza uwezekano wa kufahamu kila kitu kuhusu wewe na sio kuzuoa kabisa taarifa zako binafsi.

Hata hivyo kuna njia kadhaa za kupunguza matumizi ya taarifa zote zinazokuhusu wewe binafsi na kuweza kujiweka anyonimous unapokuwa mtandaoni.

Ntaendelea baadae kidogo.
 
Kuna jina kipesa linatumika kwa wale wenye pesa na huwa wanatumia pesa hiyo ambayo ipo tu imekaa na haitumiki.

Wenyewe wanaita hii ni "disposable income".

Sasa unaweza kutengeneza anuani ya email inaitwa "disposable email", hii utaitumia kwa mawasiliano yote na labda JF, FB na Tweeter. Anuani hii ya email haina taarifa zozote binafsi hkuhusu wewe na si rahisi kutambua pale inapokuwa ikitumika.

Kwa sababu za kiusalama na kwa kulinda "integrity" ya wananchama wenzangu wa JF, sitaweza kwenda kiundani juu ya namna ya kutengeneza hii "disposable email ila kwa wadau wengine watakuwa wameelewa."

Pili, kama nilivyoleza kwenye sehemu ya kwanza, kuhusu "search engines" kama Yahoo, Google na Bing hizi zinatunza taarifa za udukuzi wako kila unapoufanya.

Hivyo kuna search ingines ambazo hazifanyi mambo haya ya kutunza taarifa za udukuzi na mfano wa "search engines" hizi ni moja inaitwa StartPage.

Tatu, ni kwa njia ya kutumia "Password Manager", yaani unatengeneza passwords ambazo ni ngumu kuzidukua lakini ni tofautitofauti. Kuna watu wanapenda kutumia password moja kwa kila akaunti anayotumia labda , Yahoo, Gmail na kadhalika, hii inaweza ku-compromise na "situation" yako ya taarifa binafsi.

Nne ni browser gani utumie.

Browser kama ya Windows ni rahisi sana ku-compromise na PC yako kuhusiana na taarifa zako binafsi, kwani imeweza kushindwa kabisa kuzuia hacking mbalimbali.

Hapa ndio kuna kaufundi kidogo kwamba ni namna gani unachagua browser ilo bora na namna ya kufanya ufungaji mzuri wa usalama wa kwenye PC kulinda taarifa binafsi hasa kama computer unayotumia umeinunua kwa baei mbaya.

Hivyo kuna browser, Traffic na kabla ya hiyo traffic kwenda kwenye Server kunatakiwa kufanyike Encryption (kuzuia mtu asisome) ya taarifa zako ama kwenye email au ujumbe mfupi.

Kuna Server za aina mbili ya kawaida na ile iitwayo "Proxy", server ya kawaida inapokea request ya browser ya PC yako kuhusu mtandao unaotaka kuperuzi na kufanya mawasiliano hayo kikawaida tu bila kujificha.

Proxy Server imetengenezwa kukusanya na kasha kutuma traffic ya internet, yaani inamruhusu mtumiaji kuconnect lakini server hii ndio itakayodukua kurasa za internet kwa niaba ya PC yako na kukuletea wewe kwenye PC yako.

Kwa njia hii kwa kiasi Fulani utaweza kuficha taarifa za PC yako zisionekane kwa ile website uliulizia taarifa za habari.

Mwisho kuna VPN yaani "Vertual Private Network", hii ni njia kama ndani ya bomba lakini bomba hilo limo kwenye mtandao wa internet. Sasa PC yako inakuwa ndani ya bomba ikivinjari internet, hasa kwa mashirika ya kimataifa au makampuni makubwa wanatumia njia hii.

Hivyo basi mwisho wa siku una wajibu wa kuchagua ni njia ipi unaiamini kwenda mtandaoni ukiwa anonymous kati ya njia ya Proxy server au VPN.

Proxy server zipo za bure na za kulipia kama vile Word Press na wengine na zipo ambazo ni open na zile za closed.

VPN pia zipo na ni makampuni makubwa tu ndio yenye uwezo wa kumudu gharama zake na pia kama serikali ikizitaka kampuni hizo ziwape taarifa ya mtumiaji ambae amejificha humo huwa zinakuwa hazina budi kufanya hivyo.
 
Richard, hiyo article ukiisoma mpaka mwisho inaelezea namba ya kutengeneza hii anonymous profile na the technical part ya kuwa anonymous kwa kutumia Tor na built-in browser yake, IP spoofing na mengine. Kwahiyo mengi kama sio yote uliyoyaainisha yanaelezwa kwenye hiyo article.
 
I'll be back bro to to erase those politics above your post.
 
Ni kweli mkuu nimesoma yote lakini mimi nimezungumzia sana masuala ya "the other end" yaani ukiwa anonymous na jinsi ya kutumia Proxy Server na VPN ambayo naona hajagusia kwa undani kidogo.
 
Binafsi upenda kutumuia Tor na ofisini tumenatumia cyber roam kuzui watu kua access website fulani fulani lakini Tor inaenda na pia kwenye record ya sites mtu ametembelea .
 
Kuna jina kipesa linatumika kwa wale wenye pesa na huwa wanatumia pesa hiyo ambayo ipo tu imekaa na haitumiki.

Wenyewe wanaita hii ni "disposable income".

Sasa unaweza kutengeneza anuani ya email inaitwa "disposable email", hii utaitumia kwa mawasiliano yote na labda JF, FB na Tweeter. Anuani hii ya email haina taarifa zozote binafsi hkuhusu wewe na si rahisi kutambua pale inapokuwa ikitumika.

Kwa sababu za kiusalama na kwa kulinda "integrity" ya wananchama wenzangu wa JF, sitaweza kwenda kiundani juu ya namna ya kutengeneza hii "disposable email ila kwa wadau wengine watakuwa wameelewa."

Pili, kama nilivyoleza kwenye sehemu ya kwanza, kuhusu "search engines" kama Yahoo, Google na Bing hizi zinatunza taarifa za udukuzi wako kila unapoufanya.

Hivyo kuna search ingines ambazo hazifanyi mambo haya ya kutunza taarifa za udukuzi na mfano wa "search engines" hizi ni moja inaitwa StartPage.

Tatu, ni kwa njia ya kutumia "Password Manager", yaani unatengeneza passwords ambazo ni ngumu kuzidukua lakini ni tofautitofauti. Kuna watu wanapenda kutumia password moja kwa kila akaunti anayotumia labda , Yahoo, Gmail na kadhalika, hii inaweza ku-compromise na "situation" yako ya taarifa binafsi.

Nne ni browser gani utumie.

Browser kama ya Windows ni rahisi sana ku-compromise na PC yako kuhusiana na taarifa zako binafsi, kwani imeweza kushindwa kabisa kuzuia hacking mbalimbali.

Hapa ndio kuna kaufundi kidogo kwamba ni namna gani unachagua browser ilo bora na namna ya kufanya ufungaji mzuri wa usalama wa kwenye PC kulinda taarifa binafsi hasa kama computer unayotumia umeinunua kwa baei mbaya.

Hivyo kuna browser, Traffic na kabla ya hiyo traffic kwenda kwenye Server kunatakiwa kufanyike Encryption (kuzuia mtu asisome) ya taarifa zako ama kwenye email au ujumbe mfupi.

Kuna Server za aina mbili ya kawaida na ile iitwayo "Proxy", server ya kawaida inapokea request ya browser ya PC yako kuhusu mtandao unaotaka kuperuzi na kufanya mawasiliano hayo kikawaida tu bila kujificha.

Proxy Server imetengenezwa kukusanya na kasha kutuma traffic ya internet, yaani inamruhusu mtumiaji kuconnect lakini server hii ndio itakayodukua kurasa za internet kwa niaba ya PC yako na kukuletea wewe kwenye PC yako.

Kwa njia hii kwa kiasi Fulani utaweza kuficha taarifa za PC yako zisionekane kwa ile website uliulizia taarifa za habari.

Mwisho kuna VPN yaani "Vertual Private Network", hii ni njia kama ndani ya bomba lakini bomba hilo limo kwenye mtandao wa internet. Sasa PC yako inakuwa ndani ya bomba ikivinjari internet, hasa kwa mashirika ya kimataifa au makampuni makubwa wanatumia njia hii.

Hivyo basi mwisho wa siku una wajibu wa kuchagua ni njia ipi unaiamini kwenda mtandaoni ukiwa anonymous kati ya njia ya Proxy server au VPN.

Proxy server zipo za bure na za kulipia kama vile Word Press na wengine na zipo ambazo ni open na zile za closed.

VPN pia zipo na ni makampuni makubwa tu ndio yenye uwezo wa kumudu gharama zake na pia kama serikali ikizitaka kampuni hizo ziwape taarifa ya mtumiaji ambae amejificha humo huwa zinakuwa hazina budi kufanya hivyo.

Hapa umekuja vizur broo ...

Mghosi
 
I'll be back bro to to erase those politics above your post.

Which and whose post are you referring to? The preposition when translated to Kiswahili is especially confusing. Anyway....Im listening.
 
Mkuu kumbuka hapa tunaongelea Anonymity Online...
Na iwapo case yako ni ya kuvuruga Amani ya dunia hapo ndo kutakuwepo ushirikiano kati ya anonymity tools unazotumia na nchi yako...tofauti na hapo ni Vigumu mkubwa
Unavyofikiri watu wanao hack kwenye Companies kubwa wanatumia njia gani wasiwe traced tena wengine ujaribu kuingilia mpaka taasisi za serikali zao?

Mfano,Angalia ile video ilokua ikisambaa whatsaap ya wale jamaa walovamia Jeshi la police na kuwanyanganya silaha...Ile naweza chukua ni kama Terrorism lakini TCRA na Jeshi la polisi wameshindwa kushirikiana kujua source ya video ni kutoka kwa nani?May be because njia walotumia i.e Whatsaap ipo secure

Hivo mm na imani kama hao jamaa wameshindwa kujulikana kwa njia hii,hivo hivo sitegemei eti mtu aandike kitu dhidi ya Mafisadi mtandaoni afu atafutwe akamatwe...Kuna challenge kubwa sana.Ila unasitizwa kutumia hizo njia ya kuwa anonymous kwa usalama wako

Kaka hakuna kujificha kwenye mtandao kama umefanya madhara kwenye jamii labda kujificha kwa watumia JF hasa kwa waafrica masikini TOR wala VPN very easy to be traced. Kuhusu hao walioweka video ya kigaidi nimeambiwa hawapo tena. Ushauri wangu tutumie mitandao kwa faida ya wore.
 
Je Aina ya device unayotumia inaweza kudetermine usalama wa taarifa zako? Nimeuliza maana niliwahi kuwa na rafiki mzungu alinishawishi sana kutumia Blackberry hasa wakati tunajadili mambo sensitive na had leo nipo adicted na simu hizi. Nipo hapa kujifunza na natanguliza shurkani.

Mghosi
 
Kaka hakuna kujificha kwenye mtandao kama umefanya madhara kwenye jamii labda kujificha kwa watumia JF hasa kwa waafrica masikini TOR wala VPN very easy to be traced. Kuhusu hao walioweka video ya kigaidi nimeambiwa hawapo tena. Ushauri wangu tutumie mitandao kwa faida ya wore.

Una uhakika wa asilimia mia na unalolizungumza? Halafu mbona unatishia watu bure? Tema scientific na IT knowledge, sio ulichosikia au woga wako au mikwara.
 
Back
Top Bottom