TGInnocent
JF-Expert Member
- Feb 7, 2013
- 1,088
- 583
kiroboto21... snipa anavyokuambia uache siasa, na mimi ninavyohoji kama una technical know-how kuhusu hiyo mifano ya waliokamatwa, point ni hii: Hapa our arguments are logical. Simple.
Umetupa mfano abstract sana, halafu unasema unayo mingine mingi, lakini haijitoshelezi kuitumia kama hoja ya kusema kuwa huwezi ukajificha mtandaoni, na kwa vyovyote vile utakamatwa hasa na wazungu (nadhani ndicho unachomaanisha). Yani tayari hapa ni anecdotal na unwarranted assumption fallacies umefanya.
Ninavokuuliza kuhusu technical know-how, ni kwamba je, unaifahamu hiyo case vizuri kiasi cha kusema kuwa jamaa alijificha vyema na bado akashikwa? Unaweza ukaieleza kitaalam na kuweza kutushawishi wengine kwamba ni kweli alijificha vema na kwa hali ya kawaida asingeshikwa? Ukiielezea hiyo case, sisi hatutoweza ku point out makosa yake yaliyosababisha akashikwa? Kama jibu la swali lolote hapo ni hapana, ndio tunasema unaleta siasa.
au kiroboto21 ni miongoni mwa wanao support muswada wa dhalura
Last edited by a moderator: