Fanya "Calls divert" kutoka namba yake kuja kwako...ila settings hizo zinafanyika kwenye simu ya mchumba wako...kwa SMS sina uhakika kama inawezekana.
Wana jf wenzangu ninawezaje kuunganisha namba ya mtu mwingine na namba yangu ili anapopigiwa niweze kupata details zote kwamba namba ipi imempigia na ameongea nae kwa muda gani na je ametumiwa sms gani?Naombeni wenye utalaam huo wanisaidie maana mchumba wangu sio mwaminifu ili niweze kujua tabia zake na ikibidi niachane nae maana nikimuuliza anakataa kabisa so nikipata ushahidi ndo itakuwa poa.NTASHUKURU SANA.
Kama umeshaanza kumhisi vibaya ina maana kuna mambo unamwona anafanya hauyaelewi, nakuhakikishia hauhitaji kuskia anachowasiliana kwenye simu yake...UTAWEHUKA BURE NA WIVU WAKO!! Kuna njia nyingi za kumchunguza lakni siyo hiyo ya simu, chukua hatua mapema!