Jinsi ya kuunganisha jdbc na oracle database

Jinsi ya kuunganisha jdbc na oracle database

shalet

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
3,441
Reaction score
3,613
shalom,
nimejaribu kuunganisha JDBC driver ili niweze access data kutoka kwenye NETBEAN bila mafanikio
nimefuatilia video youtube lakini nikijaribu sipatio output yeyeto kwa anayefahamu kuanzia ku set path
hadi ku create url connection anijuze.
thank in advance.
 
Weka ulichofanya kisha weka error unayopata, pia elezea hiyo db iko wapi na uko connected vipi utapata msaada.
 
Back
Top Bottom