Hendry Peter Chuwa
Member
- Jul 26, 2012
- 24
- 3
Wadau Mimi ni Mtumoiaji Mpya wa jamiiForum Ningependa kupata maelekezo ya Jinsi ya Kuitumia toka kwenu Kama una Chochote Ukijuwacho Naomba unijulishe na Mimi Pia.!!
Kama gani mkuu
kajiunga 2012 jinsi ya kuitumia anauliza leo tupaaaaaaaaaaaaa kuleeeeeeeeeeeee msumbufu huyu.
mijitu mingine bana sijui ikoje
msaidie wewe kwani wewe huweziInawezekana aliingia au alijiunga hiyo 2012 lakini akawa haingii kuchangia issues! Msaidie bana.
Wadau Mimi ni Mtumoiaji Mpya wa jamiiForum Ningependa kupata maelekezo ya Jinsi ya Kuitumia toka kwenu Kama una Chochote Ukijuwacho Naomba unijulishe na Mimi Pia.!!