Jinsi ya kutumia dhl in shipping eBay stuff

Young savage

Member
Oct 9, 2018
25
23
Habari za mda huu wakuu
Me na shida kidogo
Nimenunua parcel eBay na nataka ni ship kwa kutumia dhl
Parcel inatoka Us but sijaona address za dhl ambazo nitampa muuzaji ili mzigo upelekwe pale alafu wanitumie mimi nikiwa tz
Nimeona sehemu ya kuweka address niliyopo tu
Mwenye kujua kuhusu ili tafadhali naomba msaada
 
Wanakuja wajuzi...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom