Tetesi: Jinsi ya kutumia dhl for shipping eBay stuff

Young savage

Member
Oct 9, 2018
25
23
Habari za mda huu wakuu
Me na shida kidogo
Nimenunua parcel eBay na nataka ni ship kwa kutumia dhl
Parcel inatoka Us but sijaona address za dhl ambazo nitampa muuzaji ili mzigo upelekwe pale alafu wanitumie mimi nikiwa tz
Nimeona sehemu ya kuweka address niliyopo tu
Mwenye kujua kuhusu ili tafadhali naomba msaada
 
Ninachojua ni kwamba details wanazotumia wauzaji ni zile zilizopo PayPal na njia gani ya kutumika kusafirisha mzigo wako inategemea na muuzaji.....kama muuzaji atasema anatumia DHL au njia nyingine yoyote ile basi huna budi kukubaliana naye unless kama utawasiliana naye na kumpa mapendekezo yako. Lakini kabla ya kuweka order unatakiwa kujiridhisha na njia gani muuzaji atatumia kusafirisha mzigo na je hiyo njia kwako imekaa sawa au!!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Seller huchagua njia ya kuship mzigo iliyo na unafuu kwake so kama wewe wataka atume kwa DHL wasiliana naye umuombe ikibidi umuongeze hela ya kuship huo mzigo.
 
Dhl wanapima uzito lkn charges zake ni kutokana na ukubwa wa package. Last time nimetuma mzigo dhl waliangalia ukubwa wa box linaloingia mzigo wana mabox tofauti pale kuanzia no 1 na kuendelea...bahati mbaya sina kile kipeperushi chenye charges zao. Lakini nilituma mzigo wa kwenda China nikafungiwa kwny box no 3 na mzigo ulikuwa na kilo 3.5 nililipia tsh 167,900.
ea47857a40ba561700502d884f3d1540.jpg



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mfano huwezi kumpa seller address ya dhl mfano ya U.K.
Afu ukawapa dhl address yako
Dhl si address bali ni Courier company (kampuni ya kusafirisha mizigo) so wewe ukichagua option ya Dhl au ukimuomba seller atumie njia hiyo jua ya kwamba mzigo wako utatumwa moja kwa moja tz au sehemu uliyochagua then utapigiwa simu ukachukue.
Sasa huo mzunguko wa UK wa nini tena?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom