Kama unatumia Android smartphone, nenda kweny sehemu ya kuandika messag kama kawaida alf bonyeza options button then chagua 'Schedule sending'. Hapo utaset siku, saa na dakika unayotaka text yako ifike, alf utaandika ujumbe wako, utaweka na namba,ukimaliza kwenye ku send utaona button ya '
set' instead.
Note:Hakikisha huo muda ulio set kutuma Hiyo text simu yako iwe na bando,maana haitategemea bando la wakati una set, itategemea la wakati ina ji-send