mjumbe wa bwana
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 5,282
- 6,162
Mkuu nenda jukwaa la ajira na tendaWataalam! Naomba kuuliza wale ambao walishawahi kupiga written interviews za kazi ya "Afisa Utamaduni II" na "Mwandishi wa taarifa rasmi za Bunge II"
Je, maswali yao yanafocus zaidi wapi na wanatumia lugha gani?
Natanguliza shukrani.