Jinsi ya kutuma message bureee!!!

Hivi gmail na google mail ni sawa? Mi nina gmail a/c,ntawezaje kutuma sms?

Sasa mbona mimi kwenye simu yangu inanizingua? Mara nyingi nikituma sms inabakia kuandika sending lakn hamna kitu kinachoenda. Mara nyingine inaishia kustack had nizime simu. Tatizo litakuwa ni nini?
 
Sasa mbona mimi kwenye simu yangu inanizingua? Mara nyingi nikituma sms inabakia kuandika sending lakn hamna kitu kinachoenda. Mara nyingine inaishia kustack had nizime simu. Tatizo litakuwa ni nini?

unatumia cm gani???
mmi cna shda ndani ya android OS........ vunja hyo, hamia huku!!!"""""""
 
Mkuu kitu kinapiga kazi, hata kwa yule ambaye simu yake haja install hiyo application ya Jaxtr halafu gharama ya sms moja haizidi sh 5, lakini msg inaenda taratibu sana kutoka na Connection ya internet ya mtandao
 
Inamaana hawa jamaa walikuwa kwenye majaribio? Naona hii huduma yao ya jaxtrsms ni hadi ulipie,na wanadai ni free jaxtr to jaxtr na kwa simu za za USA na INDIA.Nimeshindwa kuelewa jinsi ya kununua hizo SMS/Text credits,aliyeelewa anieleweshe.
 
Mi natumiaga mjoy kutuma msg za bure unajisajiri kwnz kuna vijicredit unannua kwa kuclik kwny tangazo ndo unavonnua credt
 
Mtoa mada shukrani na kwa wachangiaji pia.
Nami niliijaribu kwa nokia ikakubali lakini sasa nimebadili simu natumia samsung d 780 ina uwezo wa kufungua net lakini imenigomea kukubali kuregister je mnaweza nisaidia?
 
Hapo sina utaalamu,wanaojua wakufahamishe.
 
Mtoa mada shukrani na kwa wachangiaji pia.
Nami niliijaribu kwa nokia ikakubali lakini sasa nimebadili simu natumia samsung d 780 ina uwezo wa kufungua net lakini imenigomea kukubali kuregister je mnaweza nisaidia?

Hizo simu za samsung ambazo zko java based yan ambazo zinatumia embemed os zina tatzo la ku access internet kwa kutumia browser inayokuja na cm, ebu jaribu kudwnload opera min 4.4 via pc ihamishie kwenye memo card na install kwa cm halafu tengeneza acess point then uwe unatumia opera browse internet
 
Oh dah cjui gundu hii yani nimeupload iyo file mediafire kama jar. Niko kwa 4ne apa nimeitest iyo link file inakuja kama zip folder... Anyway temana na hyo link nenda:
HAPA

Mkuu link hiyo iko poa. Nimedownload kwa urahisi sana. Lakini nimejaribu kutuma sms, majibu niliyopata ni haya;
"Sorry, we were unable to send your Text/SMS as you may have utilized all your FREE credits. You can purchase Text/SMS credits at a deep DISCOUNT at http://pay.jaxtrsms.com"

Jamani sasa hapa bure iko wapi? Au watu humu wanatangaza biashara za wakubwa wao!
 
Back
Top Bottom