Jinsi ya kutuma message bureee!!!

deojames

JF-Expert Member
Apr 12, 2011
413
207
Ili uweze kupata hii service unachotakiwa ni kufungua hii website JaxtrSMS - The World's Only Free and Open Texting Application kisha download jaxtrsms app ambayo ni compatible na simu yako. Ukishadownload hiyo app ifungue na ujiregiste, ukishamaliza hawo jamaa watakutumia validation sms kwenye namba yako na hakikisha ume confirm kwa kuopen hiyo link waliyokutumia hapo ndipo utaweza kuenjoy hizo unlimited free sms.
Note: hiyo huduma inaitaji internet connection
 
ni bure wanaokata net si mtandao? Ina maana kama una wireless connection au unlimited bundle si hukatwi hela
 
hata kama service provider watakukata pesa ila pesa yenyewe itakuwa ndogo sababu sms ime contain txt hamna picha ambazo zinakula bandwidth. Its less than 1TSH
 
Nime download nimeregister lakin hawajatuma link wamenitumia namba kibao kwenye SMS au hiyo link nainconfirm wapi kwenye inbox ya jaxtrsms?
 
Acheni kubishana upumbavu...au kujikuta mnajisahaulisha.....nimefata maelezo ya mheshimiwa na nina watext wadau wangu bure popote dunia hii kwa rate ambayo siwezi hata kuinotice kuwa imekatwa....asa mnaojikuta mnabishana akati application hamjaishusha kwenye simu zenu mnamatatizo...
 
Hapa matapeli wa kinigeria watapata wengi wapenda dezo. Shauri yenu. Baada ya kulizwa tutawasikia humu mkilalamika na kulaani badala ya kujilaumu kwa ujuha na kupenda dezo kwenu. Shame on you!
 
It works, and 'its almost free'. Nime2ma msg kwa jamaa UK imenicost TSH 1.95. Thanx 4the info mleta thread.
 
hivi wireless hailipiwi eeh? Wengine tunagoogle kwa visimu vyetu vya tochi hata hatuelewi.

Nafikiri alimaanisha ukiwa ofisini. Hata kangu ni kamchina ila nikifika sehemu yenye wireless (ofisini) kanajibadili hivyo ile alama ya E inapotea na ya wireless inatokea.
 
Hapa matapeli wa kinigeria watapata wengi wapenda dezo. Shauri yenu. Baada ya kulizwa tutawasikia humu mkilalamika na kulaani badala ya kujilaumu kwa ujuha na kupenda dezo kwenu. Shame on you!


Mpayukaji hapo umenena! Mi cjaona ki2 cha bure hapa dunian.....! Hapo kuingia kwenye Net tu lazima $...
 
sio bure kama mnavyibishana ila harama ya sms ni zaid ya bure coz sms kutuma nje ya nchi ni kama sh 100

Asante mkuuu kwa maelezo ya zaid ya bureeeeeeeeee
 
thanks....... .

wenye android phones nendeni MARKERT mtapata app hii, inaitwa JAXTR

iko poa, inafanya kazi bureeeeeeed!""''''"""
 
Nafikiri alimaanisha ukiwa ofisini. Hata kangu ni kamchina ila nikifika sehemu yenye wireless (ofisini) kanajibadili hivyo ile alama ya E inapotea na ya wireless inatokea.

kwahiyo ofisi ndio inagharamia hapo. Dah! Hivi tutasema ni bure hiyo?
 
Back
Top Bottom