Jinsi ya kutuma message bureee!!!

OK mkuu nimeiweka link vizuri sasa tatizo sio java ipo mimi niliweka link vibaya idownload moja kwa moja HAPA kama ikigoma iyo idownload mediafire HAPA just ikishafunguka click download.

Nina maswali mengi kwa sababu nimeipenda hii kitu. Niliidownload ila tatizo downloading ilipomalizika,nikaopen alafu ikasave. Ikaniambia "atachment saved" nilipokuja kuitafuta baadae iliniifungue,nikaikuta kwenye "Notes" kuifungua nakutana na viboxbox tu nikashindwa hata kuilewa. Msaada zaidi tafadhali.
 
Kama una yahoo mail account unaweza kutuma txt message kwenda kwa cell phone bure.
 
Nina maswali mengi kwa sababu nimeipenda hii kitu. Niliidownload ila tatizo downloading ilipomalizika,nikaopen alafu ikasave. Ikaniambia "atachment saved" nilipokuja kuitafuta baadae iliniifungue,nikaikuta kwenye "Notes" kuifungua nakutana na viboxbox tu nikashindwa hata kuilewa. Msaada zaidi tafadhali.
Oh dah cjui gundu hii yani nimeupload iyo file mediafire kama jar. Niko kwa 4ne apa nimeitest iyo link file inakuja kama zip folder... Anyway temana na hyo link nenda:
HAPA
 
Oh dah cjui gundu hii yani nimeupload iyo file mediafire kama jar. Niko kwa 4ne apa nimeitest iyo link file inakuja kama zip folder... Anyway temana na hyo link nenda:
HAPA

Ama kweli hii ndo home of the great thinkers,asante sana mkubwa. Hii huduma ya ukweli,sasa imekubali,ni full kujiachia. Asante sana.
 
Nimetumia siku moja tu baada ya hapo inakosa nguv ya kukonect kwenye net!
 
Nimetumia siku moja tu baada ya hapo inakosa nguv ya kukonect kwenye net!

Hata mimi hilo tatizo nimeliona,kwangu mimi kama jana ilinigomea kabisa. Lakini sometym labda net connection ndo inazingua,kama mimi mahali nilipo mawasiliano yanasumbua sana,kuanzia ya simu hadi ya internet,lakn cjui kama kuna tatizo lingine,labda watumiaji wengine watuambie. Mi mara nyingine inakuwa inastack hv baada ya kutuma sms.
 
Dah siku ya tatu tangu nimeanza kutumia.ni nzuri sana.ukiwa na bundle ndiyo much better
 
Ili uweze kupata hii service unachotakiwa ni kufungua hii website JaxtrSMS - The World's Only Free and Open Texting Application kisha download jaxtrsms app ambayo ni compatible na simu yako. Ukishadownload hiyo app ifungue na ujiregiste, ukishamaliza hawo jamaa watakutumia validation sms kwenye namba yako na hakikisha ume confirm kwa kuopen hiyo link waliyokutumia hapo ndipo utaweza kuenjoy hizo unlimited free sms.
Note: hiyo huduma inaitaji internet connection

Asante mdau, g mail nao wanatoa msg bureeee unaweza kuchek pia. Wao ukifungua tu a/c ya google mail unapata. Ila unaweza kutuma kwenda tigo na voda tu as for now.
 
Asante mdau, g mail nao wanatoa msg bureeee unaweza kuchek pia. Wao ukifungua tu a/c ya google mail unapata. Ila unaweza kutuma kwenda tigo na voda tu as for now.

Hivi gmail na google mail ni sawa? Mi nina gmail a/c,ntawezaje kutuma sms?
 
Back
Top Bottom