Fibanochi JF-Expert Member Joined Jun 28, 2018 Posts 476 Reaction score 1,029 Jul 28, 2018 #1 Wakuu, habari za weekend! Hv kuna mtu anajua app au web yyt ambayo mtu anaweza kuitumia ili kutrack simu iliyoibiwa kwa kutumia imei number?
Wakuu, habari za weekend! Hv kuna mtu anajua app au web yyt ambayo mtu anaweza kuitumia ili kutrack simu iliyoibiwa kwa kutumia imei number?
johnhance JF-Expert Member Joined Jul 9, 2016 Posts 1,768 Reaction score 2,135 Jul 28, 2018 #2 kama unatumia takataka nyingine zaidi ya iphone (kuanzia 4) wala usisumbuke!
Fibanochi JF-Expert Member Joined Jun 28, 2018 Posts 476 Reaction score 1,029 Jul 28, 2018 Thread starter #3 johnhance said: kama unatumia takataka nyingine zaidi ya iphone (kuanzia 4) wala usisumbuke! Click to expand... Unajua kuna kitu kinaitwa "find my phone" ipo Samsung ?
johnhance said: kama unatumia takataka nyingine zaidi ya iphone (kuanzia 4) wala usisumbuke! Click to expand... Unajua kuna kitu kinaitwa "find my phone" ipo Samsung ?