SWEET GIRL
JF-Expert Member
- Dec 29, 2011
- 520
- 377
kumbe ndio maana huwa sikubaliwi...........
kwi kwi kwi kwi yaan nimecheka mpaka basi yan
kumbe ndio maana huwa sikubaliwi...........
hizi hapa hatua muhimu kabisa za kumtomgoza mwanadada ndani ya dakika chache tu atakuwa amekubali.
Mwanamke huwa navutiwa sana na mwanaume ambaye ni mkorofi kiasi fulani.
1. Hakikisha mara ya kwanza kabisa unamgusa labda kwenye bega au sehemu ambayo si ya kumdhalilisha.
2. Hapo utakua umeanzisha mazungumzo na huyo mwanadada.
3. Usimwambie ninaomba namba ya simu bali mpe simu yako na umwambie aandike namba yake kwenye simu yako.
4. Mkaribishe sehemu ya pembeni ili muweze kuongea.
5. Mguse begani mwambie amependeza sana. (msifie)
Hapo changanya na za kwako
Ngoja nkajipange upya kila ntakaekutana nae tu ni mwendo wa kumshika BEGANI na kumkabidhi simu mkononi. No more talks.kwi kwi kwi kwi yaan nimecheka mpaka basi yan
Sasa murah hapa wakurya tena tumeingiaje mbane, wacha uchokozi murah.Wewe mwanamuke umeorewa au maraya? Hii ni ya kikurya. The truth is hakuna formular. Sana sana siku hizi ukichelewa kutongoza mwanamke anakutongoza laivu.
Wewe kwa viwango vya wadada wa mujini GAME LAKO LIPO CHINI SANAAAAA! Maybe unatongoza watoto wa kitaaa sio WADADA WA MUJINI! Mimi hapo huningoi hataaaa!
Sasa ngoja nikupe muongozo wa kumngoa mdada yeyote wa mujini bila presha!
1. Usimpe namba kwa kuitaja ili aiandike, Noooo! Mpe business card ili ajiridhishe bila shaka lolote mambo yote kuanzia title, jiofisi unalofanyia, na details zingine.
2. Business card iambatane na mwekundu au hata 2 au 3 for voucher! Ukisisitiza hutaki kumtia gharama ya kukutafuta.
3. Sehemu ya mazungumzo mwache aitaje yeye, alafu propose mahali babkubwaaa zaidi ajione kwako yeye badooo sanaaa!
4.Mkikutana usimtafute tenaa! Mskilizie tu umuone.
5. Akikutafuta ujue umewini jumla jumla na no mizinguo tena!!!
ANGALIZO
Hizi mbinu kwa wasio oa tu! We una mke jichanganye kuipa details nyumba ndogo, mkigombana unamkuta ofisini mapokezi anakungoja!!! LOLEST!!!!!!!!!!!!
ngoja nkajipange upya kila ntakaekutana nae tu ni mwendo wa kumshika BEGANI na kumkabidhi simu mkononi......no more talks
kwote huko kwa nini mi najipakaga dawa flani hivi, nikikugusa tu umekwisha,....kuhangaika staki
Amakweli tusiojua kutongoza mbona tutakiona cha moto. Nyie wakina dada nyie hebu kuweni na huruma jamani, mapenzi ni shida na raha jamani, sio mnapenda raha tu.......Bora hata inakuwa unagharamia hivi halafu uhakika wa kumpata msichana upo.....maana kidume unaweza ukajituma hapo kumbe mtu ana mtu wake hakwambii.......................Yaani hapa ni bora kusubiri miujiza ya Mungu tu
Hakika kutongoza hakuna formula. Kutongoza kunakwenda na mazingira.
Kila mwanamke kuna jinsi yake ya kumtongoza.
Hakuna formula.
Wewe kwa viwango vya wadada wa mujini GAME LAKO LIPO CHINI SANAAAAA! Maybe unatongoza watoto wa kitaaa sio WADADA WA MUJINI! Mimi hapo huningoi hataaaa!
Sasa ngoja nikupe muongozo wa kumngoa mdada yeyote wa mujini bila presha!
1. Usimpe namba kwa kuitaja ili aiandike, Noooo! Mpe business card ili ajiridhishe bila shaka lolote mambo yote kuanzia title, jiofisi unalofanyia, na details zingine.
2. Business card iambatane na mwekundu au hata 2 au 3 for voucher! Ukisisitiza hutaki kumtia gharama ya kukutafuta.
3. Sehemu ya mazungumzo mwache aitaje yeye, alafu propose mahali babkubwaaa zaidi ajione kwako yeye badooo sanaaa!
4.Mkikutana usimtafute tenaa! Mskilizie tu umuone.
5. Akikutafuta ujue umewini jumla jumla na no mizinguo tena!!!
ANGALIZO
Hizi mbinu kwa wasio oa tu! We una mke jichanganye kuipa details nyumba ndogo, mkigombana unamkuta ofisini mapokezi anakungoja!!! LOLEST!!!!!!!!!!!!
kugusa watu mabega wengine waume zao wako nyuma wanakuona
unadundwa bure.....lol