Jinsi ya kutongoza mwanamke bila kukataliwa

Jinsi ya kutongoza mwanamke bila kukataliwa

chai ya rangi

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2026
Posts
320
Reaction score
973
Kichwa cha Uzi: Jinsi ya kutongoza wanawake ( mbinu za ndani sana hakuna mwanamke atakataa )

kabla ya kuanza kuandika na kushusha nondo naomba radhi kwakua siku za karibuni sikwepo sana online: hii inatokana na kuwa disappointed na baadhi ya mambo mfano niliandikiwa JF-expert member kitu nilivhokioinha sana. baada ya disapointments niliamua kukaa mbali na mitandao ili kulinda afya yangu ya akili. sasa nimerudi kama kawaida kuendelea na majukumu yangu ya kilasiku.

Leo nimekuja na mada ambayo inawahusu wanaume tu na nitawaelekeza mbinu bora ya kumpata mwanadada yoyote, hii mbinu nimekua nikiitumia kwa miaka kadhaa sasa nataka niwaambie pia na watu wangu wa huku JF ili kurahisisha Zoezi la utongozaji

mbinu ya kwanza: mwanadada yoyote uliyemuelewa na ukataka kumtongoza, usianze kichwakichwa plan yako ya kwanza siku ya kwanza Mgombeze, hapo utakaa kichwani kwake na hatakusahau atakuwaza siku nzima

baada ya kumgombeza anza kuonyesha nia ya kupatana na kufanya negotiation, kisha naye atakua akiweka juhudi ambazo kwa kawaida asinge weka.

lakini usitafute mda mrefu wa kukaa nae, ukiwanae kwa mda kidogo ondoka wa kwanza. pia ukimuona mahali muangalie sana... lakini usimsemeshe kisha uendelee na majukumu yako ya kawaida hiyo itakufanya ukae akilini kwake sana, ( hapa anaweza hafi akakuota akilala )

kisha siku ya mwisho anza kumtongoza rasmina asilimia zako za kukubaliwa zitakua 99.99%

Agakizo: tumia mbinu hizi kwa mwanadada ambae una malengo nae kwasababu kama unataka kumpotezea muda wake na kumuacha inaweza kumsababishia madhara kama vile kufanya uamuzi mgumu wa kujidhuru au kujudhuru
 
Aise
4e44a71986ec94be499b9cb3820cf5f5.jpg
 
kwaiyo utampa hela na kumwambia niuzie mbususu ?
Kuna kitu kinaitwa talking stage ni pale mwanzoni unapopata mawasiliano ya mwanamke

Nyinyi mnakitumia vibaya hiki kipindi kwa kupoteza muda kutongoza tongoza

Wenzenu talking stage wanaitumia kuomba wailoweke tangu siku za mwanzoni

Na uzuri wanawake wote wanauza wanajua tu nikiombwa game ina maana hapa ni biashara huko mbele ni kama kumsukuma mlevi tu

Mkishindwana abort the mission next her
 
Back
Top Bottom