Jinsi ya kutongoza mwanamke bila kukataliwa

Jinsi ya kutongoza mwanamke bila kukataliwa

Kichwa cha Uzi: Jinsi ya kutongoza wanawake ( mbinu za ndani sana hakuna mwanamke atakataa )

kabla ya kuanza kuandika na kushusha nondo naomba radhi kwakua siku za karibuni sikwepo sana online: hii inatokana na kuwa disappointed na baadhi ya mambo mfano niliandikiwa JF-expert member kitu nilivhokioinha sana. baada ya disapointments niliamua kukaa mbali na mitandao ili kulinda afya yangu ya akili. sasa nimerudi kama kawaida kuendelea na majukumu yangu ya kilasiku.

Leo nimekuja na mada ambayo inawahusu wanaume tu na nitawaelekeza mbinu bora ya kumpata mwanadada yoyote, hii mbinu nimekua nikiitumia kwa miaka kadhaa sasa nataka niwaambie pia na watu wangu wa huku JF ili kurahisisha Zoezi la utongozaji

mbinu ya kwanza: mwanadada yoyote uliyemuelewa na ukataka kumtongoza, usianze kichwakichwa plan yako ya kwanza siku ya kwanza Mgombeze, hapo utakaa kichwani kwake na hatakusahau atakuwaza siku nzima

baada ya kumgombeza anza kuonyesha nia ya kupatana na kufanya negotiation, kisha naye atakua akiweka juhudi ambazo kwa kawaida asinge weka.

lakini usitafute mda mrefu wa kukaa nae, ukiwanae kwa mda kidogo ondoka wa kwanza. pia ukimuona mahali muangalie sana... lakini usimsemeshe kisha uendelee na majukumu yako ya kawaida hiyo itakufanya ukae akilini kwake sana, ( hapa anaweza hafi akakuota akilala )

kisha siku ya mwisho anza kumtongoza rasmina asilimia zako za kukubaliwa zitakua 99.99%

Agakizo: tumia mbinu hizi kwa mwanadada ambae una malengo nae kwasababu kama unataka kumpotezea muda wake na kumuacha inaweza kumsababishia madhara kama vile kufanya uamuzi mgumu wa kujidhuru au kujudhuru
Nikajua kuna bonge idea kumbe ni kumkalipia kwanza mda wote procces kibao siku ya kwanza paka ya tatu toa kodi za maana
 
Wanawake wote wanauza

Siku hizi ni maelewano tu ukifika dau papa hilo hapo unachakata

Kutongoza ni utoto na kupoteza muda
Mademu zao huko Tinder, wana-act kutafuta marafiki Kumbe wapo kimkakati.
Screenshot_20260406_220043_Tinder.jpg
 
Kwanza pole kwa changamoto ulizopitia. Ni kweli jf kuna watu wanaudhi yaan mfano unajibu post jitu from nowhere na hangover zake za uji anakwambia huna akili as if unatumia zake. Hao mimi nakushauri ujifunze kuwazoea tu.
Na kuhusu kutongoza cku hizi hakupo ndugu yangu wewe kutana na mrembo mwambie twende pale tukanywe soda au breakfast hata lunch kama mfuko unaruhusu after hapo mpe wewe namba yako usichukue yake. Then achana nae nakwambia automatically atakutafuta mwenyewe. Na atakutafuta ucku we muache awe muongeaji maswali yake mjibu tu vizur kwa sauti ya upole na ya kawaida. After hapo mtakie ucku mwema kwa kumwambia tu "gdnt dear/love/mummy/" ukimwambia dear au love afu akuulize umeniitaje i swear usiogope kurudia ulichokisema huyo ashakuwa wako. Kidogo tu nipge pafu mbili za konyagi isipoe sana
 
mimi moja nilimsalimia vizuri, kisha nikamwambia ma mkwe hajambo ? aka mind hajaendekea kujibu nami nikamuacha tangu muda huo
 
Tumeibia majibu kutoka kwa mheshimiwa DC
saizi ni mwendo wa kisasi ukipata nafasi ya kumpiga tukio mwanamke usiipoteze
 
Back
Top Bottom