Old Member (Retired)
JF-Expert Member
- Sep 29, 2012
- 3,401
- 1,618
Hakuna asiyekubali kuwa kuna mahousegirl wazuri kushinda watoto wa mama mwenye nyumba na mahouse girl wengine ni wakali kuliko mama mwenye nyumba
Sasa leo MZUNGU MZEE nataka kuelezea maeneo ambayo unaweza kukutana na mahouse girl na kuwatongoza.
MAENEO YA KUWAPATA MAHOUSE GIRL NI;
1. Shule za Nursery, housegirls wengi hupeleka watoto wa mama wenye nyumba mashuleni. kwahiyo unachotakiwa kufanya ni kuwahi asubuhi na mapema unakaa kwenye shule yoyote ya nursery na kusuburia mabeki 3 wanavyoleta watoto shule, mara nyingi ni kuanzia saa moja na nusu mpaka saa tatu. Au mchana muda wa kutoka kuanzia saa saba mpaka saa kumi.
2. Magengeni, hapa tegea mida ya saa nne nne ambapo mabeki 3 wengi wanakuwa tayari wametoka kusindikiza watoto shule hivyo wameenda kununua mboga na nyanya kwaajili ya chakula cha mchana.
3. Wanapouza maziwa ya ng'ombe, hapa unakaa nyumba yoyote ile mtaani kwenu ambayo wanauza maziwa ya ng'ombe unasubiria mabeki 3 wakitumwa kununua maziwa.
4. Wanapouza maji, kama upo jiji lenye shida ya maji mabeki 3 utawapata kiurahisi sana maana wao ndio hutumwa muda wote kuchota maji.
Ukikaa zako kwenye maeneo hayo unamsubiria mabeki 3 huwezi kukosa wa kujichapia, very cheap, unampa hela ya kusukia nywele za twende kilioni kazi imeisha
Wenu katika kazi,
MZUNGU MZEE
View attachment 203379