Jinsi ya kutongoza Ma-Housegirl

Jinsi ya kutongoza Ma-Housegirl

we muda wote upo jf kazi unafanya sangapi?
yule jamaa alisema anatafuta msichana wa kusimamia biashara yake hajakuita bado?

Mimi nipo kazini....kuwa jf ni sawa na kwenda magengeni na mashuleni kuvizia vitoto? Af hiyo habari nyingine we inakuhusu nini labda
 
Maana mtu na kazi yake atapata wapi huo mda wa kumnyemelea housegirl?hao ni wale kula kulala

Kazi anafanya shemeji bwana ye kuvimbisha tumbo.....watu kama hawa siku shemeji akimtongoza atalalamika?
 
Sitaki kukubez mtoa mada, kwa sababu nimetumia muda kusoma post yako.
Ushauri wangu:
1. Kuwa na beki tatu bila kua na future nae ni kumuongezea risk mwenzio, kumbuka huko alipotoka hali ni ngumu sana, ukimpa ujauzito lazima boss wake atamfukuza na huko anakorudi akijifungua mwanao atateseka sana.

2. Kama una mazoea na beki tatu mfanye awe mdogo wako ili upate fursa ya kumshauri ili mwisho wa siku awe na maisha yake yenye maana, kwa mfano kuna wengine hata kusoma hawajui hivyo ukimshauri adundulize ela imsaidie kujifunza kusoma ni jambo jema, mwingine amefeli kidato cha nne mpe moyo asome hata QT au areseat mtihani, mshauri ajifunze kushona nguo ili mwisho wa siku atengeneze maisha yake.

3.hii post yako nashauri kwa mawazo hayo ungeipeleka kwenye jukwaa la jokes.

Kweli Kabisa mkuu huyu inaonekana ni kula kulala
 
Bila shaka wa kina yahaya ni weng huyu kweli ana plan gan ya maisha na anajua thaman ya huyo anaye mzungu mzia jielewe na tambua thaman ya wengine huenda ni mzee mjinga pumbafu usiye jielewa.
 
Back
Top Bottom