Jinsi ya kutongoza hapa Jamiiforums

Jinsi ya kutongoza hapa Jamiiforums

Du!..asante kwa webinar,, tatizo wote ni 'taken'
 
I see! hivi hizi thread za kizandiki mbona hazikuwepo kabla ya mimi na lara 1 kuwa pamoja?

akyanani walahi hakuna rangi ambayo sitoiona mwaka huu, au watu walidhani mimi ni cow boy?

ha ha ha ha ha
 
MCHUNGUZI HURU, nakuona na wewe upo upo kwenye anga za mimi maza wako
vipi una kaagenda au ni mtazamo tu;

Ila Nimecheka
Umeifanya siku yangu leo aisee;
Uzi umekaa vizuri sana huu.
 
Last edited by a moderator:
Thread hii imekaa kitaalamu sana.Imesheheni kanuni zote muhimu za
saikolojia ya mahusiano.Hongera MCHUNGUZI HURU.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom