Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 51,095
- 122,457
Hahahaaa! Hufundishwi bali unapewa na aina nyingine ya matumizi ili usiwe yule yule kila sikutusifundishane jinsi ya kutumia internet
Hahahaaa! Hufundishwi bali unapewa na aina nyingine ya matumizi ili usiwe yule yule kila sikutusifundishane jinsi ya kutumia internet
Umenipotezea mb zangu
Usirudie tena nkakupiga ban
Hakika hii post Ingekua Haina hii Title nisingepata replay hata Moja
Sawa Mkuu. Nipende kutambua uwepo wako tafadhali karibu Kiti cha Mbele Hukutusifundishane jinsi ya kutumia internet
kumbe unajifunza kutongoza sisi tunajifunza namna ya Ku ......kwenye net brodaah
![]()
![]()
![]()
kumbe unajifunza kutongoza sisi tunajifunza namna ya Ku ......kwenye net brodaah
weka picha Mkuu tuone
Hizo nchi zilizoendelea ndiyo zenye mitandao yenye picha za uchi. Kwa kifupi mambo yote ya kipuuzi huanzia kwao huku watu wanaiga tu.
![]()
![]()
unataka niweke pics za porno
no plz nilitania tuu
![]()
![]()
kuwa makini makonda asikuone
Hivi Kigwangala keshaanza na yeye kampeni?
Key word mpya Hii si ndio?Approaching talental.
Ndio yenyewe mkuu.Key word mpya Hii si ndio?
Great approaching tittle
Hakuna kitu kizuri Kama kuwafahamu wabongo na Hii ndio Siri ambayo CCM hutumia katika chaguzi zote na Kushinda
Yeah, umelionaje Bomba?Hapo ndompango mzima
Bora na wewe umeliona hiloUmeandika utafikiri umeahirisha kuwaza