Francis Mawere
JF-Expert Member
- Nov 17, 2015
- 958
- 830
Wakuu nawasalimu,
Yawezekana Kichwa cha habari Kimekuvutia mno na ndio maana Uko hapa si ndio? Lakini siwezi nikashangaa Uwepo wako hapa katika post hii kwa kua wewe ni mmoja wa Hawa nitakao waongelea HAPA.
HOJA: Je ni lini Vijana wa Kitanzania Tuta acha Kuitumia Internet Pasipo na Faida?
Katika nchi za wenzetu zilizo endelea Vijana hutafuta yale mambo ambayo ni chanya katika maisha yao mfano Biashara, Tech, Afya n.k..
Lakini Vijana wengi wa Tz mambo hayo Kwetu hayapo Kiviiile kwa kua tuu Kiiza kinene ndicho kilicho tawala Akili zetu, Sisi Hutafuta, PICHA ZA UCHI, JINSI YA KUTONGOZA, NAMNA YA KUHACK SIMU ZA WAKE ZETU na DAWA ZA KUONGEZA nguvu za Kiume( mmmh shame on Us)