Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

That's fear.. Unatakiwa kujua hakuna chochote kinachoweza kukupata, hata uone kama kuna viumbe vinataka kukushika tambua kwamba that's not real. Ukivuka hiyo stage na kujikuta umeweza kuona through your eyelids jua kwamba the adventure has just begun.
Ikitokea hii njia iliyoshauriwa kwenye huu uzi imekushinda unaweza ukafanya forced projection, though unaweza ukawa shocked for the first time ila after some time you'll get used to.. na ni njia salama pia.
Okay ngoja nifanye tena maana nilishaacha kabisa kujaribu
 
That's fear.. Unatakiwa kujua hakuna chochote kinachoweza kukupata, hata uone kama kuna viumbe vinataka kukushika tambua kwamba that's not real. Ukivuka hiyo stage na kujikuta umeweza kuona through your eyelids jua kwamba the adventure has just begun.
Ikitokea hii njia iliyoshauriwa kwenye huu uzi imekushinda unaweza ukafanya forced projection, though unaweza ukawa shocked for the first time ila after some time you'll get used to.. na ni njia salama pia.
Forced projection ndo inakuwaje iyo
 
Forced projection ndo inakuwaje iyo
Kwa maelezo rahisi ni kwamba.. wakati unafanya AP unakuwa una imagine upo sehemu tofauti na pale unapofanya AP kwahiyo utakapo fanikiwa kutoka hautaanzia pale ulipokuwa umelala au umekaa, moja kwa moja utajikuta upo ile sehemu ulipokuwa una imagine upo na mwili wako utakuwa unauona pale ulipokuwa umelala(na hii ni kama ulikuwa una imagine upo eneo karibu na unapofanyia AP). Ndio maana nikasema maranyingi watu wanashtuka kwasababu ni kitendo cha ghafla, ila it's safe!
Hii maranyingi inatumiwa na wale watu ambao wanapata wakati mgumu kutenganisha astral body na physical body.

Nadhani utakuwa umenielewa mkuu..
 
ASTRAL PROJECTION/Mental Projection.

Ni Ule Uwezo Wa Mtu Kutengana Na Mwili Wake Ki Fikra Katika Imani Husemwa Kiroho.
au pale ambapo mwili unakuwa umetengana na fahamu zako.
Utokaji huu wa nje ya mwili upo wa aina mbili au tatu na wenyewe ni wa roughly watu wanafundisha kwa maelezo marefu na mapana hali ya kuwa ni kitu kifupi tu watu wanatakiwa kujua jinsi ya kutoka na mengine kujifunza huko huko.
View attachment 420199

FAIDA ZAKE:
1. Kujitambua kuwa wewe hufi na kuondoka moja kwa moja: Hili ni tukio litakalo kubadilishia maisha. Mamilioni ya watu wamekua wakithibitisha kuwa mtu akifa hapotei moja kwa moja bali kuna maisha mengine ambayo ataishi wale wasioamini life after dealth.

2. Kuongeza uwezo mzuri wa kulala:
Hii husaidia mtu kulala katika hali ya usalama na kupata nguvu inayozungumziwa baada ya kulala na kujua ni ipi sababu kubwa ya kulala tunalala ili miili yetu ipumzike roho zetu zianze kuishi.

3. Kuongeza nguvu ya majariwa:
Hii inaongeza kipawa cha unabii na uwezo mkubwa wa kumsoma mtu akili hufahamika kama kama mind reading au telepathy, kasimama hapo wewe unaongea na roho yake.

4. Kujiendeleza Kimaisha:
Ukiwa nje ya mwili inakuthibitishia kuwa wewe ni zaidi ya binadamu wa kawaida hivyo hukuongezea akili ya utendaji zaidi kwa kutumia maajabu na si nguvu tena.

5. Inakuongezea kukomaa kiroho:
Watu wengi wamekuwa na roho nzuri baada ya kuishi na kiumbe zaidi ya asiekuwa mwanadamu.

6. Inaongeza heshima ya maisha:
Hii hukufanya umuheshimu kila kiumbe na umuhurumie hata paka maana kule una uwezo wa kuongea hata na wanyama pia.

7. Inaongeza akili kumbukumbu na ubunifu:
kupitia ufahamu utakao kuwa nao kwa zoezi hili inaeleweka kwamba utakuwa umefungua sehemu za ubongo wako za fahamu zinazodeal na akili pamoja na kumbukumbu.

8. Kukuwezesha kupata majibu yako mwenyewe kwa spiritual guide:
kutoka nje ya mwili kutakujibia maswali mengi ambayo ulikua huwezi kuyajibu katika ulimwengu wako wa kiroho.

9. Kuondoa woga wa kufa:
kuhofia kifo ni kuhofia jambo usilolijua.utakapotoka utaona kwamba kumbe nina uwezo wa kuishi maisha ya pili hata nikifa.

10. Kutambua na kuelewa mambo ya kale yaliyopita:
utajifunza jinsi ya kupanua ubongo wako haya kuzungumza na historia za kale ingawa unaweza kuona pia tukio lijalo ila hii ni kwa wenye power ya precognition na retrocognitions.

11. Kupaa na kufurahi:
Ulimwengu wa roho hata anga sio mpaka. unaweza kupaa nyuma ya mawingu. na ukapaa kama puto. unataka kuwa na macho ya ndege mjini? la shaka! au unataka kupaa na kuogelea kama samaki dolphin na hata kuruka kama ndege, au kudumbukia ndani na kuogelea kama samaki!

ukitaka unaweza hata kufika kwenye sayari za juu na zile ambazo bado hazijawa discovered wazungu walifanya zamani sana hii na kwenda huko kabla hata ya kurusha ndege, unaweza kwenda popote duniani na nje ya dunia hata kuwatembelea marafiki kila corner ya ulikmwengu

12. Kuthibitisha kwamba mwili wako utakufa ila akili au nafsi yako itabaki tu

13. utayaona mengi maisha yako yaliopita na kuyachezea na utakuwa na nafasi ya kuona kila kitu ambacho unatakiwa kufanya ufanikiwe:
Pia hii yaweza kuwa tiba kubwa kwa magonjwa yasiyotibika kwa maana unaingia hata sehemu ambazo zimefichwa hasa na waweza kula dawa yeyote.

14. Kukutana Na Malaika wako wawili
Utawaona hawa hatua ya kwanza kutoka na kukuongoza kwa mengi ukitaka kuwaona.
japokuwa hawaonekani moja kwa moja ila kama vivuli

15. Kuongeza Nguvu ya miujiza
Kutoka huku kutakufanya uongeze nguvu zako za miujiza kama vile
kuona vitu visivyoonekana kwenye real world, kuskia sauti za mawazo ya mtu, kujua kinachotokea dk kadhaa zijazo, kumlazimisha mtu kufanya utakacho (mind control), kuhisi jambo fulani linatokea, nguvu ya unabii,

16. Kuona aura ya kila kitu na nguvu zingine nyingi tu. haya yote yatakutokea kwa maana umezidi mpaka wa ubongo wako hapa ndio tunaanza kuona more than a normal brain function(waweza kuwa genius pia ukitumia vizuri, anyway usitumie manguvu yote hovyo utaanza kuhisi kuchanganyikiwa fuata hatua kwa hatua.

17. kujaza busara akilini.
hii hukufanya uzidishe busara katika akili yako na amani kuu katika roho yako

18. Kuongeza tamaa ya kupata majibu
Kutoka nje ya mwili kutakufanya kujibu maswali na kujua zaidi kwamba wewe ni nani? upo wapi? na unafanya nini? na unaenda wapi? ukijua hayo hutabadilika mfumo wako wa maisha?

19. Kuwaona waliokufa
Hapa utakutana na ndugu zako uliokuwa ukiwapenda waliotangulia mbele za haki. Kukutana nao huku kutakusaidia sana kuwasaidia kama kuwalipia madeni na kukuonyesha mali walizoficha kama walikua wanakupenda.

20. Kujiongezea maajabu ya maisha
hapa utajifunza mengi kuona kila kiumbe kisichoonekana kupajua sehemu watu na nyumba kabla hujaenda

21. Kupona
Ukitoka nje ya mwili unakuwa umejitibu hapa utaweza kujitibu mwenyewe na wengine na wanyama pia.

Na Hizo bado ni baadhi tu:
View attachment 420282
Ni Aina Ya Nguvu Ambayo Huwa Nayo Watu Wote Isipokuwa Katika 100%

65% Ni Watu Wasioijua

25% Ni Watu Wanaoijua

10% Ni Watu Wanaoitumia

Hatua za kufuata ili uweze kutoka nje ya mwili

Kuna Njia Mbili Za Kutoka Nje Ya Mwili Hapa Nitaielezea Moja.

Njia Hizo Ni:

1; Kutoka nje wewe binafsi

2: Kutoka nje ya mwili kwa msaada wa mlio(Binaural beats)
View attachment 420201

HATUA ZA KUFUATA KWA NJIA YA KWANZA:

NI RAHISI TU.!
Ukiwa katika hali ya utulivu na utayari na amani na pia kujiamini kuwa leo nitaweza kutoka kwa mara ya kwanza,

HATUA ZA KUFUATA:
1; Oga Na Vaa Nguo Safi Zisizo Bana yaweza kuwa hata night dress ambayo ni laini au nguo yoyote itakayokufanya uwe vema na huru katika kufanya jambo hili,

2: Lala Chali Mgongo Ukiwa Umenyooka Vema huku umefumba macho, hakikisha hukazi mwili wala kufanya focus yoyote katika mwili wako ili uweze kufanya vema na kwa usawa na utulivu,
View attachment 420202
3: wakati ukiendelea kuutafuta utulivu utapata vishawishi vya kujigeuza au kujitingisha usiweke mawazo yako huko usiweke wazo moja wala usilenge wazo sehemu moja wala usitengeneze picha yoyote akilini wewe tulia tu. Kumbuka ili kufanikisha zoezi lolote la kiroho UTULIVU,UTULIVU,UTULIVU pekee ndio jambo au kitendo au maamuzi pekee ya kukufanikishia jambo la kiroho, usijishike wala kujitingisha wewe tulia tu UTULIVU ndio kitu kiwe kinachozunguka kwenye akili yako na mwili wako na pumzi yako TULIA. utaanza kuhisi uzito kwenye viungo mbali mbali vya mwili wako hasa kichwa.

4: Usitingishe Macho Wala Kuchezesha Mwili Wako. tulizana usiogope wala usihofu kwa maana hakuna cha kukuogopesha kwa wakati huo zaidi ya mwili wako ni sawa na mtu aliyelala usingizi.

5: Subiri Na utulizane Kwenye Pumzi yako ( Hapa unakuwa unaupa taarifa ubongo wako kuwa mwili wote umeshalala au upo kwenye state ya ndoto)

6: ukiweza kujizuia Kujigeuza Geuza Au Kujikuna Ubongo Utajua Umelala Na Utaruhusu Mwili Kuachia Kinga Ya Paralysis Au Ganzi Salama Ya Mwili Mzima.
Ambayo Huwa Inakinga Miili Yetu Kutokujiumiza Wakati wa Kuota Mfano: sleep walking(unaota huku unatembea) au wakati unapigana ndotoni usiweze kupiga au kujiumiza.

7: Wakati Hali Hii Inatokea Hapo Ndipo Unaweza Kujitenga na mwili wako ambao umepata ganzi.
tatizo hapa huwa lipo katika kujua ni upi mwili sahihi maana bado miili miwili inakuwa imeshikana
ukiamka na mwili wako wa ganzi kila kitu utakuwa umevuruga na utaamka kwenye mwili wenye ganzi (hii mimi ninauzoefu nayo pia unajiona upo macho lakini mwili hauamki wala kucheza unaganda ni kawaida ila huwa ni inashtusha kidogo. haichukui muda ni kama sekunde 10 ukianza kujishtua au kujitingisha ila inashangaza kidogo na kukutisha kama ni mwoga kwa maana unaweza hisi utakuwa hivyo moja kwa moja.

Sasa Je Utajua Vipi Kati Ya Miili Hii Upi Ni Sahihi?

Mbinu Rahisi Ipo Hivi Ukifikia Kwenye Hatua Hiyo Ya Kutoka. tengeneza picha Kwamba Una Mikono Mipya Na Miguu Mipya..
na ukishaingia kwenye hali hiyo hutokea set ya mingine na ndio unaweza kutumia kwa kutoka.

Lakini kwa wengine hii huwa ngumu sasa hapo unatakiwa uangalie dali na kuhisi ikiwa ni pamoja na mbinu kuwa kamba inashuka na kukukuta unaishika kisha unahisi inakuvuta na kukufanya uelee

9: Baada Ya Hapo Inuka Katika Mwili Wako huo na Sogea Mbele Hatua Tano Geuka Nyuma na Uangalie Mwili Wako Uliouacha.

10: Hongera Umeweza Fanya Chochote Unachojiskia Hakina Madhara Kwenye Real World....
lakini vipo ambavyo vinaonekana in real world play safe there.
Lakini pia kwa wanaoanza ni bora asiende mbali aishie karibu na nyumbani kisha azunguke zunguke ili azoee mazingira ya mwili huo na hali hiyo.

ANGALIZO:
View attachment 420205
Wakati Unautizama Mwili Wako Uliouacha Kuna Kitu Kina Kuwa Kimekuunga Na Ule Mwili Kama Silver cold Hivi Nyeupe Ya Kama Wingu Hiyo Ndio Hukusaidia Kurudi Hata Kama Umepotea Njia.....
View attachment 420206

kama una swali ambalo ni personal na upo nje ya forum:

Wasiliana nami kupitia email hii:

Rakimsspiritual@gmail.com

Kwa haya na mengineyo pia tembelea
Rakims Spiritual

Rakims
Sawa mkuu tumekuelewa ila katika somo lako sijaona namna ya kuurudia mwili wako na mambo yapi ni ya hatari zaidi ukiwa unafanya huu mchezo...........KUMBUKA DURING EXPERIANCE PEOPLE A DIE AND YOU SUPPOSED TO WARNING BEFORE YOU GIVE THE LESSON
 
Habari mkuu nitajie watu wawili au mmoja uliyekwisha wahi kumuona kafariki kwa kutoka nje ya mwili hakuna kitu kama hicho na watu wanasema hivyo ili kutisha watu wasifikie na kujua yale wanayojua wao.
Pili ukisoma quote zangu kwenye thread hii utaona nimeshaeleza haya mambo
Tatu huu sio mchezo isipokuwa kwa wajinga ndio huona mchezo lakini moja kati ya experience kubwa ambazo mtu akipitia anaweza kutoka katika hali fulani kwenda nyingine

Rakims
 
Watu makini wote, lazima huwa wanajiuliza kwanza kabla hawajalifanya jambo lolote ambalo hawana uhakika nalo!. Unapojiuliza ufanye jambo fulani, usifanye tuu ili kujaribu au kujifurahisha bali jiulize what for?!, unafanya ili iweje, ukiuuliza muyo, uau kujiuliza, utapata majibu. Ile sauti ya kujiuliza inaitwa listening from your self, na sauti unaisikia inaitwa 'the voices from within', hiyo ndio sauti ya Mungu!, ikukuambia fanya, then fanya!.

Astra Projection niliyoizungumza mimi ni ile iliyopo kwenye ule main uzi wangu kuhusu haya makitu
[h=3]Psychic Powers: Ni Nguvu za Kufanya Miujiza. Wengi wanazo bila Kujitambua ...[/h]Then nenda kwenye sub topic ya nne kuhusu Astral projection or mental projection - An out-of-body experience in which an "astral body" becomes separate from the physical body.

Pasco
Yawezekana nguvu hii ndiyo anayoitumia kigogo_2014 kufahamu yanayoendelea kwenye Uongozi??? Maana sio kwa taarifa zile...
 
Nashukuru pia mkuu kwa kuona faida ya nilichokiandika many people doesn't know it

Rakims
Ndg, Mwalimu Rakims..
Vipi kuhusu Vipofu na vizuri au watu wenye disabilities..
Wakifundishwa Elimu hii wanaweza wakaona huko, vizuri na kusikia kila kitu???
 
Ndg, Mwalimu Rakims..
Vipi kuhusu Vipofu na vizuri au watu wenye disabilities..
Wakifundishwa Elimu hii wanaweza wakaona huko, vizuri na kusikia kila kitu???
Ndio mkuu na inaweza kuwa ndio njia nzuri zaidi ya wao wenyewe kujiponya natamani ningeweza kukutana nao katika shule zao maana kwa njia hii wangeweza kuenjoy maisha in other form
 
ASTRAL PROJECTION/Mental Projection.

Ni ule uwezo wa mtu kutengana na mwili wake kwa fikra katika imani Husemwa Kiroho.
Pale ambapo roho yako inakuwa imetengana na mwili wako wa nyama.

Utokaji huu wa nje ya mwili upo wa aina mbili au tatu na wenyewe ni wa roughly watu wanafundisha kwa maelezo marefu na mapana hali ya kuwa ni kitu kifupi tu watu wanatakiwa kujua jinsi ya kutoka na mengine kujifunza pale wanapokuwa wameshatoka ndio maana huitwa OOBE yaani Out Of Body Experience.
Baada ya wewe kutoka nje ya mwili umeexperience nini?
Na kile ulichoexperience wewe sio kukiweka sheria maana kila mtu anaweza kutoka nje ya mwili ikiwa atapata muongozo mzuri sasa kuna watu tofauti tofauti wanaweza kutoka nje ya mwili nao wakaja na makala zao za kukurupuka na Experience zisizo na kichwa wala miguu wengine experience zao ni za dhana.

View attachment 420199

FAIDA ZAKE:

Hakuna chochote utakachopenda au kuthubutu kufanya pasipo kujua faida wala hasara au Athari zake zifuatazo ni faida chache anaweza kupata yoyote mwenye kuthubutu kutoka nje ya mwili:

1. Kujitambua kuwa wewe hufi na kuondoka moja kwa moja: Hili ni tukio litakalo kubadilishia maisha. Mamilioni ya watu wamekua wakithibitisha kuwa mtu akifa hapotei moja kwa moja bali kuna maisha mengine ambayo ataishi wale wasioamini life after dealth.

2. Kuongeza uwezo mzuri wa kulala:
Hii husaidia mtu kulala katika hali ya usalama na kupata nguvu inayozungumziwa baada ya kulala na kujua ni ipi sababu kubwa ya kulala tunalala ili miili yetu ipumzike roho zetu zianze kuishi.

3. Kuongeza nguvu ya majariwa:
Hii inaongeza kipawa cha unabii na uwezo mkubwa wa kumsoma mtu akili hufahamika kama kama mind reading au telepathy, kasimama hapo wewe unaongea na roho yake.

4. Kujiendeleza Kimaisha:
Ukiwa nje ya mwili inakuthibitishia kuwa wewe ni zaidi ya binadamu wa kawaida hivyo hukuongezea akili ya utendaji zaidi kwa kutumia maajabu na si nguvu tena.

5. Inakuongezea kukomaa kiroho:
Watu wengi wamekuwa na roho nzuri baada ya kuishi na kiumbe zaidi ya asiekuwa mwanadamu.

6. Inaongeza heshima ya maisha:
Hii hukufanya umuheshimu kila kiumbe na umuhurumie hata paka maana kule una uwezo wa kuongea hata na wanyama pia.

7. Inaongeza akili kumbukumbu na ubunifu:
kupitia ufahamu utakao kuwa nao kwa zoezi hili inaeleweka kwamba utakuwa umefungua sehemu za ubongo wako za fahamu zinazodeal na akili pamoja na kumbukumbu.

8. Kukuwezesha kupata majibu yako mwenyewe kwa spiritual guide:
kutoka nje ya mwili kutakujibia maswali mengi ambayo ulikua huwezi kuyajibu katika ulimwengu wako wa kiroho.

9. Kuondoa woga wa kufa:
kuhofia kifo ni kuhofia jambo usilolijua.utakapotoka utaona kwamba kumbe nina uwezo wa kuishi maisha ya pili hata nikifa.

10. Kutambua na kuelewa mambo ya kale yaliyopita:
utajifunza jinsi ya kupanua ubongo wako haya kuzungumza na historia za kale ingawa unaweza kuona pia tukio lijalo ila hii ni kwa wenye power ya precognition na retrocognitions.

11. Kupaa na kufurahi:
Ulimwengu wa roho hata anga sio mpaka. unaweza kupaa nyuma ya mawingu. na ukapaa kama puto. unataka kuwa na macho ya ndege mjini? la shaka! au unataka kupaa na kuogelea kama samaki dolphin na hata kuruka kama ndege, au kudumbukia ndani na kuogelea kama samaki!

ukitaka unaweza hata kufika kwenye sayari za juu na zile ambazo bado hazijawa discovered wazungu walifanya zamani sana hii na kwenda huko kabla hata ya kurusha ndege, unaweza kwenda popote duniani na nje ya dunia hata kuwatembelea marafiki kila corner ya ulikmwengu

12. Kuthibitisha kwamba mwili wako utakufa ila akili au nafsi yako itabaki tu

13. utayaona mengi maisha yako yaliopita na kuyachezea na utakuwa na nafasi ya kuona kila kitu ambacho unatakiwa kufanya ufanikiwe:
Pia hii yaweza kuwa tiba kubwa kwa magonjwa yasiyotibika kwa maana unaingia hata sehemu ambazo zimefichwa hasa na waweza kula dawa yeyote.

14. Kukutana Na Malaika wako wawili
Utawaona hawa hatua ya kwanza kutoka na kukuongoza kwa mengi ukitaka kuwaona.
japokuwa hawaonekani moja kwa moja ila kama vivuli

15. Kuongeza Nguvu ya miujiza
Kutoka huku kutakufanya uongeze nguvu zako za miujiza kama vile
kuona vitu visivyoonekana kwenye real world, kuskia sauti za mawazo ya mtu, kujua kinachotokea dk kadhaa zijazo, kumlazimisha mtu kufanya utakacho (mind control), kuhisi jambo fulani linatokea, nguvu ya unabii,

16. Kuona aura ya kila kitu na nguvu zingine nyingi tu. haya yote yatakutokea kwa maana umezidi mpaka wa ubongo wako hapa ndio tunaanza kuona more than a normal brain function(waweza kuwa genius pia ukitumia vizuri, anyway usitumie manguvu yote hovyo utaanza kuhisi kuchanganyikiwa fuata hatua kwa hatua.

17. kujaza busara akilini.
hii hukufanya uzidishe busara katika akili yako na amani kuu katika roho yako

18. Kuongeza tamaa ya kupata majibu
Kutoka nje ya mwili kutakufanya kujibu maswali na kujua zaidi kwamba wewe ni nani? upo wapi? na unafanya nini? na unaenda wapi? ukijua hayo hutabadilika mfumo wako wa maisha?

19. Kuwaona waliokufa
Hapa utakutana na ndugu zako uliokuwa ukiwapenda waliotangulia mbele za haki. Kukutana nao huku kutakusaidia sana kuwasaidia kama kuwalipia madeni na kukuonyesha mali walizoficha kama walikua wanakupenda.

20. Kujiongezea maajabu ya maisha
hapa utajifunza mengi kuona kila kiumbe kisichoonekana kupajua sehemu watu na nyumba kabla hujaenda

21. Kupona
Ukitoka nje ya mwili unakuwa umejitibu hapa utaweza kujitibu mwenyewe na wengine na wanyama pia.

Na hizo bado ni baadhi tu:
View attachment 420282
Ni aina ya uwezo ambao huwa nao watu wote kwa 100%
Lakini

65% Ni watu wasiojua na wala hawaamini kama inawezekana

25% Ni watu wanaojua na wanaamini inawezekana

10% Ni watu wanaoju na wanaamini lakini vile vile wameshaweza na wanatumia katika maswala mbali mbali.

Hatua za kufuata ili uweze kutoka nje ya mwili

JINSI YA KUFANYA:
Ili kuweza kutoka nje ya mwili kuna njia kuu mbili lakini hapa nitapenda kuelezea moja ambayo ni nzuri zaidi na salama zaidi.

1: Kutoka nje ya mwili ukiwa wewe binafsi.

2: Kutoka nje ya mwili kwa msaada wa sauti yaani (Binaural beats)

View attachment 420201

HATUA ZA KUFUATA KWA NJIA YA KWANZA:

NI RAHISI TU!

Ukiwa katika hali ya utulivu na utayari na amani na pia kujiamini kuwa leo nitaweza kutoka kwa mara ya kwanza,

HATUA ZA KUFUATA:
1; Oga vaa nguo safi zisizo bana yaani yaweza kuwa hata night dress ambayo ni laini au nguo yoyote itakayokufanya uwe vema na huru katika kufanya jambo hili,

2: Lala chali mgongo ukiwa umenyooka vema huku umefumba macho,
hakikisha hukazi mwili wala kufanya focus yoyote katika mwili wako ili uweze kufanya vema na kwa usawa na utulivu, kuna muda utahisi unashindwa na koo lako linajaa mate usihofu ni hisia tu maana hata ukimeza mate inakuwa ni kama umeanza upya

View attachment 420202

3: wakati ukiendelea kuutafuta utulivu utapata vishawishi vya kujigeuza au kujitingisha usiweke mawazo yako huko usiweke wazo moja wala usilenge wazo sehemu moja wala usitengeneze picha yoyote akilini wewe tulia tu.
Kumbuka ili kufanikisha zoezi lolote la kiroho UTULIVU,UTULIVU,UTULIVU pekee ndio jambo au kitendo au maamuzi pekee ya kukufanikishia jambo la kiroho,
Usijishike wala kujitingisha wewe tulia tu UTULIVU ndio kitu kiwe kinachozunguka kwenye akili yako na mwili wako na pumzi yako iwe inapumua neno moja tu TULIA.
utaanza kuhisi uzito kwenye viungo mbali mbali vya mwili wako hasa kichwa.

4: Usitingishe macho wala kuchezesha mwili wako.
tulizana usiogope wala usihofu kwa maana hakuna cha kukuogopesha kwa wakati huo zaidi ya mwili wako ni sawa na mtu aliyelala usingizi maana hata kama mwili wako utakuwa na maumivu sehemu basi hujipoza wenyewe kwa ganzi salama na hata kama mwili ukitaka kupata tatizo wenyewe utakuweka sawa kujidhuru ni jambo ambalo halipo ukiwa umelala aliyekuumba alihakikisha usalama wako wakati umelala.

5: Subiri na utulizane kwenye pumzi yako lakini pia ifikie muda hata pumzi nayo utakuwa huna habari nayo maana nayo kuna muda dakika kadhaa baada ya zoezi inakuwa kero kuifuatilia (Hapa unakuwa unaupa taarifa ubongo wako kuwa mwili wote umeshalala)

6: ukiweza kujizuia kujigeuza geuza au kujikuna na kujitingisha Ubongo wako utatambua umelala na utaruhusu mwili wako kuachia Ganzi Salama ya mwili mzima.
Utahisi kama kitu kinakuvaa kutoka miguuni inaenda inapanda itakapofika kifuani utahisi uzito katika kifua chako zaidi na utahisi kama umewekewa kimzigo pumzi itaanza kuja kwa kasi kidogo hapo ndio unatakiwa kumaintain mapigo ya moyo wako usiache yapige kwa kukutia hofu na kukujaza mashaka tulia na weka furaha kwamba upo karibu kufanikiwa,

ikifika kichwani ndio sehemu pekee ambayo unaweza kufanikisha au kuribu zoezi zima maana kuna muda inaweza kukupindisha kichwa pembeni au inaweza kudidimiza kichwa chako ganzi hiyo ambayo huwa inakinga miili yetu kutokujiumiza wakati wa kuota

Mfano:
Sleep walking(unaota huku unatembea) au wakati unapigana ndotoni usiweze kujipiga au kujiumiza.

7: Wakati hali hii inatokea hapo ndipo unaweza kujitenga na mwili wako ambao umepata ganzi.
tatizo hapa huwa lipo katika kujua ni upi mwili sahihi maana bado miili miwili inakuwa imeshikana
ukiamka na mwili wako wa ganzi kila kitu utakuwa umevuruga na utaamka kwenye mwili wenye ganzi
(hii mimi ninauzoefu nayo pia unajiona upo macho lakini mwili hauamki wala kucheza unaganda ni kawaida ila huwa ni inashtusha kidogo).
haichukui muda ni kama sekunde 30 ukianza kujishtua au kujitingisha ila inashangaza kidogo na kukutisha kama ni muoga kwa maana unaweza hisi utakuwa hivyo moja kwa moja.

Sasa Je Utajua Vipi Kati Ya Miili Hii Upi Ni Sahihi?

Mbinu Rahisi Ipo Hivi Ukifikia Kwenye Hatua Hiyo Ya Kutoka. tengeneza picha Kwamba Una Mikono Mipya Na Miguu Mipya..
na ukishaingia kwenye hali hiyo hutokea set ya mingine na ndio unaweza kutumia kwa kutoka.

Lakini kwa wengine hii huwa ngumu sasa hapo unatakiwa uangalie Dali na kuhisi ikiwa ni pamoja na mbinu kuwa kamba inashuka na kukukuta unaishika kisha unahisi inakuvuta na kukufanya uelee.
Lakini kwa sisi wazoefu ukifika kwenye ganzi unavisualize kuinuka unainuka.

9: Baada ya hapo utahisi unaelea na hatua kadhaa simama wima tizama kitandani mwili wako uliouacha ukiuona basa tizama silver cord kama ipo imekuunganisha na mwili wako. ukiiona basi jua upo nje ya mwili lakini usipoona mwili wako na silver cord huioni basi jijue unaota na haupo nje ya mwili hapo pia unaweza kufurahia na ndoto yoyote unayotaka kuiota lakini pia unaweza kutoka nje ya mwili ukiwa ndani ya ndoto nimeeliza jinsi ya kufanya kwenye makala ya kucid dream nje ya mwili katika blog yangu.

10: Hongera umeweza fanya chochote unachojiskia hakina madhara kwenye Ulimwengu wa nyama kwa kuwa wewe ndio umeanza lakini kwa masters kinakuwa na Athari.
lakini vipo ambavyo vinaonekana in real world nakushauri ufanye unayofanya salama kuna mengi utajua ya kufurahisha na mengine ya kusikitisha play safe there.

ANGALIZO:
Lakini pia kwa wanaoanza ni bora asiende mbali aishie karibu na nyumbani kisha azunguke zunguke ili kuweza kuzoea mazingira ya mwili huo na hali hiyo.

View attachment 420205
Wakati unatizama mwili wako utakapoiona silver cord inakuwa inaonekana kama utando huo pichani.

View attachment 420206

Kwa haya na mengineyo pia tembelea blog yangu kwa kubonyeza link hii chini:

Rakims Spiritual

kama una swali ambalo ni personal na upo nje ya forum:

Wasiliana nami kupitia email hii:

Rakimsspiritual@gmail.com

Rakims

View attachment 225535

View attachment 420204
Watu wengne bhana yaani ww umepewa mwili na aliyekupa kwa mapenzi yake mwenyewe afu kumbe ww hutaki kuwa na mwili unataka utoke nje ya mwili wako duuuh sijui unataka ukazurure huku na humo duniani??🤣🤣🤣🤣😇😇😇
 
Soma thread upya kama hujaelewa na ukiona huelewi vizuri achana nayo!

Rakims
 
Watu wengne bhana yaani ww umepewa mwili na aliyekupa kwa mapenzi yake mwenyewe afu kumbe ww hutaki kuwa na mwili unataka utoke nje ya mwili wako duuuh sijui unataka ukazurure huku na humo duniani??
Kwaiyo ww kisa umepewa miguu gari hutaki kupanda tena...
 
Screenshot_20210516-183324.png

Hiyo bio hapo naomba maelezo Rakims
 
Back
Top Bottom