Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

@Rakims Rakims post: 39574638 said:
Niandikie jinsi unavyofanya nijue unakwama wapi?
@Rakims mwanzo nilikuwa naishi maeneo ya karibu na barabara, hivyo kila dakika gari au pikipiki lazima ipite hata kama ni saa sita za usiku, si unajua tena pilika na town haziishi. Kwahiyo kila nikijaribu AP nilikuwa nafeli, nikafikiri labda haya magari yananiletea disturbance.

Sasa tangu niondoke sehemu hiyo na kuja hapa nilipo sasa hivi ni yapata wiki ya tatu, nipo sehemu tulivu sana hasa kuanzia time ya saa 5 usiku. Hivyo nikajaribu tena AP kwa kufuata procedures zote ulizoandika lakini bado nafeli, japo nilifanya siku kama nne hivi mfululizo pasipo effect yeyote. Mwisho nikaamua kuacha nikifikiri labda hii issue ni selective.

Jinsi nilivyofanya...
1. Nalala chali
2. Nafumba macho
3. Naanza kupumua taratibu
4. Navuta picha kama vile nipo angan au sehemu fulani ninayoifahamu nikiwa napaa.
 
Ndio mkuu na inaweza kuwa ndio njia nzuri zaidi ya wao wenyewe kujiponya natamani ningeweza kukutana nao katika shule zao maana kwa njia hii wangeweza kuenjoy maisha in other form
Mkuu Rakims habari.
Nimefuatilia uzi toka post ya kwanza hadi ya mwisho na kuvutuwa sana na hii comment yako ya kuhusu uponyaji.

Binafsi ninasumbuliwa na tatizo la hearing loss (sisikii vizuri) ninapata shida sana kwenye usikivu ni hafifu. Nimezunguka sana hospital lakini hakuna tiba wala dawa mpaka sasa hivyo ninaishi na hali hii ya hearing loss.

So ninaomba kujua kwa kutumia hii astra projection, au meditation sijui ninaweza jiponya vipi sasa, kwa mfano nikisha toka nje ya mwili huko lengo langu hasa nataka nikutafuta uponyaji na kurudisha usikivu wangu normal, so ninatakiwa kufanya mambo yapi huko astra projection iki nofanikiwe hilo.

Natanguliza shukrani
 
@Rakims mwanzo nilikuwa naishi maeneo ya karibu na barabara, hivyo kila dakika gari au pikipiki lazima ipite hata kama ni saa sita za usiku, si unajua tena pilika na town haziishi. Kwahiyo kila nikijaribu AP nilikuwa nafeli, nikafikiri labda haya magari yananiletea disturbance.

Sasa tangu niondoke sehemu hiyo na kuja hapa nilipo sasa hivi ni yapata wiki ya tatu, nipo sehemu tulivu sana hasa kuanzia time ya saa 5 usiku. Hivyo nikajaribu tena AP kwa kufuata procedures zote ulizoandika lakini bado nafeli, japo nilifanya siku kama nne hivi mfululizo pasipo effect yeyote. Mwisho nikaamua kuacha nikifikiri labda hii issue ni selective.

Jinsi nilivyofanya...
1. Nalala chali
2. Nafumba macho
3. Naanza kupumua taratibu
4. Navuta picha kama vile nipo angan au sehemu fulani ninayoifahamu nikiwa napaa.
Habari mkuu hii namba 4 ndio kosa lako,
Kitu ya kwanza katika kufanya haya mambo na wanafunzi wangu wote wanajua
Do not concertrate
Do not visualize
Do not imagine

That is the first thing to understand

Rakims
 
Jimejaribu mara nyingi mno lakini wapi, na wanao fanikiwa sijui wanawezaje
To tell you the hard truth-This is satanic.Lengo la haya mambo watu hawaambiwi ukweli ila kiuhalisia ni kukupeleka to the point ya kuamini wewe ni unaweza kutenda kama MUNGU anavyotenda (kujiamini wewe ni mungu).Haya mambo yalikuwepo tangia kale na kale na usidhanie firauni alipokuwa anajiamini yeye ni mungu ilitokea from no where-Ni kwenye mambo kama haya. Experience utakayokuwa unaipata kadri unavyokuwa unaelekea kwenye hii advanced stance ni role ya MUNGU kupungua maishani mwako,wakati kiuhalisia jambo la ki-MUNGU linapaswa kukuongezea more inner peace and love ya Mwenyezi MUNGU kadiri unavyoenda kwenye advanced stage lakini hii astra-p. ipo vice versa. Ukishafikia kwenye advanced stage ya Astra projection tegemea siku moja utakuja kuona kukufuru Holy Trinity ni jambo la kawaida au kuamini hakuna Mungu kabisa.Kabla ya kufungua hii pandora box waulize watu kama Pascal Mayalla pengine watakueleza kwa uwazi ili ufanye maamuz sahihi.Kwenye mambo kama haya watu wanaomba mpaka kutembea na wake za watu na wanafanikiwa which is against scriptures.Ukweli ni kwamba MUNGU ni Mtakatifu na yote yanayohusiana nae ni Matakatifu.Ni sawa na meditation,hata kweye catholic church inaruhusiwa ikiwa tu ni Godly centered kama ku-meditate kwa kuwaza scriptures nk. and not on other unholy things including your self.
 
Hii astral P. inayofundishwa hapa ni Human-centered na siyo God-centered.
"One of the main differences between the Biblical and occult astral projection is that when God's people were caught up in the Spirit, it was God who prompted it, whereas in occult astral travel, it is often the practitioner who is 'seeking' after the experience.The difference between the two is that one is controlled by the Holy Spirit while the other is controlled by spirits that are not of God, or demons."
"an experience out of the body which is not controlled by the Holy Spirit has the potential to be dangerous, like any spiritual experience outside of God's direction. In such a condition, there is nothing stopping evil spirits coming in to invade that person."
 
To tell you the hard truth-This is satanic.Lengo la haya mambo watu hawaambiwi ukweli ila kiuhalisia ni kukupeleka to the point ya kuamini wewe ni unaweza kutenda kama MUNGU anavyotenda (kujiamini wewe ni mungu).Haya mambo yalikuwepo tangia kale na kale na usidhanie firauni alipokuwa anajiamini yeye ni mungu ilitokea from no where-Ni kwenye mambo kama haya. Experience utakayokuwa unaipata kadri unavyokuwa unaelekea kwenye hii advanced stance ni role ya MUNGU kupungua maishani mwako,wakati kiuhalisia jambo la ki-MUNGU linapaswa kukuongezea more inner peace and love ya Mwenyezi MUNGU kadiri unavyoenda kwenye advanced stage lakini hii astra-p. ipo vice versa. Ukishafikia kwenye advanced stage ya Astra projection tegemea siku moja utakuja kuona kukufuru Holy Trinity ni jambo la kawaida au kuamini hakuna Mungu kabisa.Kabla ya kufungua hii pandora box waulize watu kama Pascal Mayalla pengine watakueleza kwa uwazi ili ufanye maamuz sahihi.Kwenye mambo kama haya watu wanaomba mpaka kutembea na wake za watu na wanafanikiwa which is against scriptures.Ukweli ni kwamba MUNGU ni Mtakatifu na yote yanayohusiana nae ni Matakatifu.Ni sawa na meditation,hata kweye catholic church inaruhusiwa ikiwa tu ni Godly centered kama ku-meditate kwa kuwaza scriptures nk. and not on other unholy things including your self.
Mkuu John7371 , asante sana kwa hii, kiukweli Lusiferi na wafuasi wake, wanaitumia sana mitandao ya kijamii kutafuta wafuasi, hivyo humu kwenye mitandao ya kijamii kuna ushetani mwingi. Mimi ni mmoja wa wachangiaji wa mwazo wa uzi huu, mchango wangu ni post ni. 4 na nilitoa ushauri huu

Mwenye masikio na asikie
P
 
Back
Top Bottom