ben milazo
JF-Expert Member
- Jan 18, 2015
- 995
- 671
nishajaribu kufanya hii kitu#sitajaribu tena
Asante mkuu kwa ushauli na angalizo .mana bado kidogo nianze jalibu ako kaupuuziMkuu Rakims na MziziMkavu, naombeni sana wakati mnatoa hili somo, pia muwape angalizo hao wanafunzi wenu, kuwa mchezo huu pia ni sawa na kuijaribu sumu kwa kuilamba!. Wapeni kabisa masharti ya kuzingatia, wakikosea ndio safari jumla!, asubuhi unakutwa ulitangulia ukiwa usingizini!.
Masharti ni haya.
Wito wangu mimi wa wafuatiliaji wa haya makitu, kama hujui unataka nini, au utoke out of body ili kuachieve nini, please don't do it!. Mtu asikudanganye kuwa its very fun to go out of body, is not fun!. Too much knowledge on anything is harmful, please don't try unless you are sure what you are trying to do!.
- Fanya hivyo ukiwa umelala peke yako chumbani, na kabla hujaanza ujinga huo, hakikisha umefunga mlango kwa funguo, kwa sababu akitokea mtu akakuamsha kwa kukutingisha kwa nguvu na kuchange ile position yako hata ya milimita moja, ile cord ni kama utando wa buibui, inakatika, wewe unakuwa ndio basi tena!.
- Unaweza kukutana na "the under world" ukaona maisha hayo ya astra plane ndio bora zaidi kuliko real world, hivyo cord ikakatika, huku unakutwa ndio basi tena!, wewe ni safari jumla!.
- Hizi ni highest stages za meditation ambazo haziruhusiwi kufanywa na beginners, na hazifanywi un supervised vinginevyo ni safari jumla!.
- Yote utakayoyashuhudia kwenye astra body, unaweza kuyafanya by simply opening up the "third eye!"
- Hizi ndizo the first stages za wachawi!.
Paskali
Kufa ni kitu ambacho hakipo mkuu, hao labda kama zao zimefikaJamani kuna watu wanasema unaweza ukafa nimesoma wikihow wanasema nafsi imekua connected na mwili so huwezi kufa lazima tu itaru kwenye mwili.
Your welcome mkuu, asante kwa kusomaMambo haya makuu walifumbuliwa watoto wachanga, na wenye akili za kijima walifumbiwa. Ignorant people can not talk of such high spiritual knowledge. Shida yenu mnafikiri mkisha soma soma kidogo mnadhani baaasi. You are not my broda.
Rakims thanks for good astra projection lesson in swahili.
Sorry mkuu naona nilijichanganya wakati naandika nilisema huwezi kufa kwasababu nafsi imekua connected maana niliona mtu mmoja humu anasema unaweza kufa.
Hahhahahahaa! Mbavu zangunishajaribu kufanya hii kitu#sitajaribu tena
Tupo pamoja mkuuSorry mkuu naona nilijichanganya wakati naandika nilisema huwezi kufa kwasababu nafsi imekua connected maana niliona mtu mmoja humu anasema unaweza kufa.
ASTRAL PROJECTION/Mental Projection......
View attachment 420199
Ni Ule Uwezo Wa Mtu Kutengana Na Mwili Wake Ki Fikra Katika Imani Husemwa Kiroho...
Utokaji huu wa nje ya mwili upo wa aina mbili au tatu na wenyewe ni wa roughly watu wanafundisha kwa maelezo marefu na mapana hali ya kuwa ni kitu kifupi tu watu wanatakiwa kujua jinsi ya kutoka na mengine kujifunza huko huko
FAIDA ZAKE:
View attachment 420282
1. Kujitambua kuwa wewe hufi na kuondoka moja kwa moja: Hili ni tukio litakalo kubadilishia maisha. Mamilioni ya watu wamekua wakithibitisha kuwa mtu akifa hapotei moja kwa moja bali kuna maisha mengine ambayo ataishi wale wasioamini life after dealth.
2. Kuongeza uwezo mzuri wa kulala: Hii husaidia mtu kulala katika hali ya usalama na kupata nguvu inayozungumziwa baada ya kulala na kujua ni ipi sababu kubwa ya kulala tunalala ili miili yetu ipumzike roho zetu zianze kuishi.
3. Kuongeza nguvu ya majariwa: Hii inaongeza kipawa cha unabii na uwezo mkubwa wa kumsoma mtu akili kama mind reader au telepathy, kasimama hapo wewe unaongea na roho yake.
4. Kujiendeleza Kimaisha: Ukiwa nje ya mwili inakuthibitishia kuwa wewe ni zaidi ya binadamu wa kawaida hivyo hukuongezea akili ya utendaji zaidi kwa kutumia maajabu na si nguvu tena.
5. Inakuongezea kukomaa kiroho: Watu wengi wamekuwa na roho nzuri baada ya kuishi na kiumbe zaidi ya asiekuwa mwanadamu.
6. Inaongeza heshima ya maisha: Hii hukufanya umuheshimu kila kiumbe na umuhurumie hata paka maana kule una uwezo wa kuongea hata na wanyama pia.
7. Inaongeza akili kumbukumbu na ubunifu: kupitia ufahamu utakao kuwa nao kwa zoezi hili inaeleweka kwamba utakuwa umefungua sehemu za ubongo wako za fahamu zinazodeal na akili pamoja na kumbukumbu.
8. Kukuwezesha kupata majibu yako mwenyewe kwa spiritual guide: kutoka nje ya mwili kutakujibia maswali mengi ambayo ulikua huwezi kuyajibu katika ulimwengu wako wa kiroho.
9. Kuondoa woga wa kufa: kuhofia kifo ni kuhofia jambo usilolijua.utakapotoka utaona kwamba kumbe nina uwezo wa kuishi maisha ya pili hata nikifa.
10. Kutambua na kuelewa mambo ya kale yaliyopita: utajifunza jinsi ya kupanua ubongo wako haya kuzungumza na historia za kale ingawa unaweza kuona pia tukio lijalo ila hii ni kwa wenye power ya precognition na retrocognitions.
11. Kupaa na kufurahi!
Ulimwengu wa roho hata anga sio mpaka. unaweza kupaa nyuma ya mawingu. na ukapaa kama puto. unataka kuwa na macho ya ndege mjini? la shaka! au unataka kupaa na kuogelea kama samaki dolphin na hata kuruka kama ndege, or dive inside and swim like a fish!
ukitaka unaweza hata kufika kwenye sayari za juu na zile ambazo bado hazijawa discovered wazungu walifanya zamani sana hii na kwenda huko kabla hata ya kurusha ndege, unaweza kwenda popote duniani na nje ya dunia hata kuwatembelea marafiki kila corner ya ulikmwengu
12. Kuthibitisha kwamba mwili wako utakufa ila akili au nafsi yako itabaki tu
13. utayaona mengi maisha yako yaliopita na kuyachezea na utakuwa na nafasi ya kuona kila kitu ambacho unatakiwa kufanya ufanikiwe
Pia hii yaweza kuwa tiba kubwa kwa magonjwa yasiyotibika kwa maana unaingia hata sehemu ambazo zimefichwa hasa na wawea kula dawa yeyote
evolution.
14. Kukutana Na Malaika wako wawili
Utawaona hawa hatua ya kwanza kutoka na kukuongoza kwa mengi ukitaka kuwaona.
15. Kuongeza Nguvu ya miujiza
Kutoka huku kutakufanya uongeze nguvu zako za miujiza kama vile
kuona vitu visivyoonekana kwenye real world, kuskia sauti za mawazo ya mtu, kujua kinachotokea dk kadhaa zijazo, kumlazimisha mtu kufanya utakacho (mind control), kuhisi jambo fulani linatokea, nguvu ya unabii,
Kuona aura ya kila kitu na nguvu zingine nyingi tu. haya yote yatakutokea kwa maana umezidi mpaka wa ubongo wako hapa ndio tunaanza kuona more than a normal brain function(waweza kuwa genius pia ukitumia vizuri, anyway usitumie manguvu yote hovyo utaanza kuhisi kuchanganyikiwa go stape by step.
16. kujaza busara akilini.
hii hukufanya uzidishe busara katika akili yako na amani kuu katika roho yako
17. Kuongeza tamaa ya kupata majibu
Kutoka nje ya mwili kutakufanya kujibu maswali na kujua zaidi kwamba wewe ni nani? upo wapi? na unafanya nini? na unaenda wapi? ukijua hayo hutabadilika mfumo wako wa maisha?
18. Kuwaona waliokufa
Hapa utakutana na ndugu zako uliokuwa ukiwapenda waliotangulia mbele za haki. Kukutana nao huku kutakusaidia sana kuwasaidia kama kuwalipia madeni na kukuonyesha mali walizoficha kama walikua wanakupenda.
19. Kujiongezea maajabu ya maisha
hapa utajifunza mengi kuona kila kiumbe kisichoonekana kupajua sehemu watu na nyumba kabla hujaenda
20. Kupona
Ukitoka nje ya mwili unakuwa umejitibu hapa utaweza kujitibu mwenyewe na wengine na wanyama pia.
Na Hizi bado ni baadhi tu:
Ni Aina Ya Nguvu Ambayo Huwa Nayo Watu Wote Isipokuwa Katika Asilimia 100..
65% Ni Watu Wasioijua
25% Ni Watu Wanaoijua
10% Ni Watu Wanaoitumia..
Hatua Za Kufuata Ili Kusavei Nje Ya Mwili
Kuna Njia Mbili Za Kutoka Nje Ya Mwili Hapa Nitaielezea Moja...
Njia Hizo Ni:
1; self Astral P...
2: Astral By Binaural Beats
View attachment 420201
HATUA ZA KUFUATA KWA NJIA YA KWANZA:
NI RAHISI TU....
1; Oga Na Vaa Nguo Safi Zisizo Bana
2: Lala Chali Mgongo Ukiwa Umenyooka Vema huku umefumba macho....
View attachment 420202
3: utapata vishawishi kujigeuza au kujitingisha vi ignore/ Usijishike wala kujitingisha kuwa kama soldier....
4: Usitingishe Macho Wala Kuchezesha Mwili Wako...
5: Subiri Na Uconcerntrate Kwenye Pumzi ( Hapa unakuwa unaudanganya ubongo kuwa mwili unaota)
6: ukiweza kujizuia Kujigeuza Geuza Au Kujikuna Ubongo Utajua Umelala Na Utaruhusu Mwili Kuachia Kinga Ya Paralysis Au Ganzi Salama Ya Mwili Mzima..
Ambayo Huwa Inakinga Miili Yetu Kutokujiumiza Wakati wa Kuota Mfano: sleep walking(unaota huku unatembea)
7: Wakati Hali Hii Inatokea Hapo Ndipo Unaweza Kujitenga na mwili wako ambao umepata ganzi....
tatizo hapa huwa lipo katika kujua ni upi mwili sahihi maana bado miili miwili inakuwa imeshikana
8: ukiamka na mwili wako wa ganzi kila kitu utakuwa umevuruga na utaamka kwenye mwili wenye ganzi (hii mimi ninauzoefu nayo pia unajiona upo macho lakini mwili hauamki wala kucheza unaganda ni kawaida ila huwa ni noma sana... haichukui muda ni kama sekunde 10 ukianza kujishtua au kujitingisha ila inashangaza kidogo wale wanafunzi wangu mnajua hapa namaanisha nini...
Sasa Je Utajua Vipi Kati Ya Miili Hii Upi Ni Sahihi?
Mbinu Rahisi Ipo Hivi Ukifikia Kwenye Hatua Hiyo Ya Kutoka.. Visualize Kwamba Una Mikono Mipya Na Miguu Mipya..
na ukishaingia kwenye hali hiyo hutokea set ya mingine
9: Baada Ya Hapo Inuka Katika Mwili Wako Wa Ndoto Sogea Mbele Hatua Tano Geuka Nyuma na Uangalie Mwili Wako Uliouacha.......
10: Hongera Umeweza Fanya Chochote Unachojiskia Hakina Madhara Kwenye Real World....
lakini vipo ambavyo vinaonekana in real world play safe there
ANGALIZO:
View attachment 420205
Wakati Unautizama Mwili Wako Uliouacha Kuna Kitu Kina Kuwa Kimekuunga Na Ule Mwili Kama Silver cold Hivi Nyeupe Ya Kama Wingu Hiyo Ndio Hukusaidia Kurudi Hata Kama Umepotea Njia.....
View attachment 420206
Rakims Spiritual
Rakims
Hatari sana aisee. Hadi naogopausitingishe macho wala kuchezesha mwili, ni kama maiti vile.
kulala chali ni kama maiti inavyolala
usishawishike kijigeuza, hata maiti hutamani kufanya hivyo kwa sabb maiti anawasikia ila tu haiwezi kurespond
mchezo mzima huo, ni kama al-mait havina tofauti
Una moyo wa ziadaGuys nimejarib dis morning....wakati wa kutengana miili nj shidaaa u feel like hell yaan ubarid unauckia unaanzia miguuni kwene unyayo....unapanda taratib then take over inatakoa very slowly....separation of body! Nimeamua nijikurupue maana kuna imetoke very strange! But ntajarib tenaa jion
watu Wangu wanaangamia kwa kukosa maarifaMuwe waangalifu na jambo hili ni hatari na huweza kutumika kama portal au mlango au sababu ya kuingiliwa na roho chafu. Ni kitendo ambacho wachawi hufanya kwa msaada wa roho za kuzimu.
Endapo mtu safi anafanya astral projection huwa ni kwa msaada wa roho mtakatifu na kwa lengo maalum la kimungu na huanzishwa na Mungu mwenyewe.
Kutoka nje ya mwili kwa initiative yako mwenyewe ni kutenda kosa kama wafanyavyo wachawi. Ni sawa na ushirikina kwani ukweli ni kwamba yeyote afanyaye astral projection hushirikiana na roho chafu.
Kawaida mwili uliobaki kitandani hubaki chini ya uangalizi wa pepo, yaani pepo huingia kwenye mwili uliobaki ili uendelee kuwa hai.