Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

ww umetumia beat kuweza kufanikisha zoezi la kutoka
Ndio Kwanza Raha ya kutumia beats hauhisi au kuweka mawazo ya kuichunguza process wakati wa kutoka ambavyo wengi huwa inawasababishia hofu, wewe focus yako tu iwe kwenye beats utajishangaa vibrations imeongezeka na unaanza kujiona unaanza kuelea juu
 
Mkuu unaweza kunielezea maana hasa ya kuwa spiritual enlightened?? Nini hasa maana yake?? Kuna ishara zimenitokea ambazo inaonesha nipo katika hatua hiyo.

Pia nilifanikiwa kufanya AP. But now since nimeacha Meditation imekuwa ngumu sana.
Kuwa enlightened ni kufanikiwa kile ulichokuwa unakitafuta mkuu kama ni kuongeza nguvu za miujiza au kuongeza hekima au kuelewa dunia kwa upana yaani kuwa enlightened ni kama kwamba mtu alikuwa gizani kiroho sasa kaingia kwenye mwanga ina maana pana isipokuwa kuna baadhi ya societies zinazofundisha hapa Dar wanadai humfikisha mtu kuwa enlightened lakini ukisikiliza wanachosema ni upuuzi fulani fulani maana hata anaewafundisha hajawahi kuwa enlightened

Rakims

Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
 
Usimjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake; Usije ukafanana naye. Umjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake; Asije akawa mwenye hekima machoni pake. Apelekaye ujumbe kwa mkono wa mpumbavu Hujikata miguu, na kunywa hasara. Miguu yake achechemeaye huwa dhaifu; Kadhalika mithali katika kinywa cha mpumbavu. Kama mfuko wa vito katika chungu ya mawe; Kadhalika mtu amheshimuye mpumbavu. Kama mwiba uingiao katika mkono wa mlevi; Kadhalika mithali katika kinywa cha mpumbavu. Fundi stadi hufanyiza vitu vyote; Bali amwajiriye mpumbavu ni kama awaajiriye watu wapitao. Kama vile mbwa arudiavyo matapiko yake; Kadhalika mpumbavu afanya upumbavu tena. Je! Wamwona mtu mwenye hekima machoni pake mwenyewe? Afadhali kumtumaini mpumbavu kuliko yeye.
Shauri zuri mkuu lakini usipotoshe watu

Rakims

Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
 
Habari mkuu,
Jinn possession haitokei kwa sababu ya mtu kutoka nje ya mwili hadi mtu unaweza kutoka nje ya mwili maana yake vibration ya mwili wako ulioacha ni ngumu kuhisi hata kama mmbu kakung'ata walioexperience body paralyzed wanajua hilo mkuu. Hakuna kitu kinaweza kuingia kwenye mwili wako kutoka ulimwengu wa kiroho ukiwa nje ya mwili haina tofauti na kulala kisha ukaota ndoto

Mbili inategemea na beats aliyotumia mkuu zingine hazina viwango hivyo hupelekea maumivu ya kichwa

Rakims

Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
Mkuu naomba nitajie iyo beats nitumie kutoka njee ya mwili
 
Back
Top Bottom