Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

Hapana mkuu rejea thread yangu ya sleep paralysis na jinamizi,

Rakims
 
Nmeona hapo mwanzo bwana paskali ametuonya.Hii kitu ni hatari.unaweza poteza maisha.Pia kuna channel za you tube zinasema kujaribu hii astra ni njia moja wapo ya kuyafungulia majini
Pascal ni mtu kama wanadamu wengine hivyo hivyo watu wa youtube hutengeneza videos for increase viewers lakini kwako, why don't you find out yourself hiyo ndio wanaume wa kweli hufanya otherwise utakuwa unasubiri watu wafanye wewe uangalie tu, kwa nini wewe usianzishe chako hata useme kwamba wakuu kwenda huko ni sawa na umeenda mwezini n.k

You do it wanaoelimisha watu wao wanatumia experience zao
 
Mkuu Rakims!
Elimu ya mambo ya kiroho unayoitoa hapa ni kubwa na laiti watu wangekuwa serious kujifunza kuna vitu wangepata. Mie nakufuatilia na nafurahi kwa sbb karibu 99% ya kile ufunzacho ni kweli tupu.

Endelea mkuu.
 
Nataka niulize pia kuhusu hii OBE ambayo kimsingi na hawa wachawi (na hata watu wa mambo ya dini, baadhi yao) huitumia, je, wanatumia utaratibu kama huu ili kwenda kwenye realm nyingine au wao wanafanyaje hasa?
 
Wakuu Rakims, mshana Jnr na MziziMkavu!
Hivi wale manabii au waganga wa kienyeji wanaoweza kujua past, present na future ya mtu WANAFANYA FANYAJE HASA???
 
Shukran kaka tupo pamoja
 
Nataka niulize pia kuhusu hii OBE ambayo kimsingi na hawa wachawi (na hata watu wa mambo ya dini, baadhi yao) huitumia, je, wanatumia utaratibu kama huu ili kwenda kwenye realm nyingine au wao wanafanyaje hasa?
wao wanategemea zaidi low entities ambazo huwavuta nje ya mwili na mwili husika kuuhifadhi pembeni kisha kuweka kiini macho pale ambapo muhusika alipo, wengine huacha miili yao ikiwa possessed by demons na kutoka nje kwa makubaliano fulani lakini wengine pia hasa watibabu wao hutoka na kuchungulia pamoja na kuhoji roho ya muhusika inatatizo gani,
 
Wakuu Rakims, mshana Jnr na MziziMkavu!
Hivi wale manabii au waganga wa kienyeji wanaoweza kujua past, present na future ya mtu WANAFANYA FANYAJE HASA???
past kujua ni kweli present pia wanaona lakini future huwa wanatizama kile ulichonacho kitafanya nini au kimepanga kufanya nini wengine huishia Guessing
 
Wewe ulishawahi kufanya?
 
Pascal ni mtu kama wanadamu wengine why don't you find out yourself hiyo ndio wanaume wa kweli hufanya otherwise utakuwa unasubiri watu wafanye wewe uangalie tu,
Mimi nimetoa tuu angalizo, whoever wish to do that, must know the risk behind, kitu cha msingi ni mtu unataka kutoka out of body to do what?.

Wanga na wachawi ndio wanaotumia sana out of body, hao wanafunzi wenu mnawafunza out of body ili wafanye nini?.

Haya ya wanaume wa kweli hufanya, hata kama ni kuijaribu sumu kwa kuilamba, hapana!.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…