Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

usitingishe macho wala kuchezesha mwili, ni kama maiti vile.

kulala chali ni kama maiti inavyolala

usishawishike kijigeuza, hata maiti hutamani kufanya hivyo kwa sabb maiti anawasikia ila tu haiwezi kurespond

mchezo mzima huo, ni kama al-mait havina tofauti

Umejuaje kama maiti inasikia?
 
Rakim

Mkuu Rakims, naomba kusisitiza astra projection ni astra projection tuu!, kwa kifupi unafundisha watu kufanya "out of body!"
sijakataa wewe kutoa mafunzo, ila nimekutahadharisha wafundishe hao wanafunzi wako, the consequences za out of body!, hiyo silver cord ni kama utando wa buibui!, mtu ukiwa kwenye out of body, ukitingishwa, inakatika na ndio safari!.

Haya yote ni 'power manifestation', wafundishe hao wanaotaka kutoka out of body, wanatoka ili iweje?!.

Hizi stages za juu sana na zinafanywa kwa lengo maalum, naona wewe kama unawafundisha watu humu wafanye astral projection for fun!.

Kwa wale wasomaji wa uzi huu, nawasisitizia "don't try do anything you real don't know!". Na kwa wenye nia ya kufanya, kabla hujafanya kitu chochote, lazima kwanza ujiulize "what for", na swali la pili, "do I have to do this?!", yaani unafanya ili iweje?, na jee ni kweli unahitaji kwenda "out of body?!." ili ukafanye mini?!.

Kwa msio jua, hizi ni powers ambazo kila mmoja wetu anazo!, hata bila kufuata maelekezo yoyote ya Rakims, watu wengi hutokewa na "out of body" bila kijua, na mfano mzuri ni ndoto za majinamizi, wengi hujikuta awake lakini hawezi kutingisha mwili au kupiga kelele, ni katika kule kustrain, ndipo unaamka na kijasho juu huku unahema!.

Wachawi na wanga, kabla hawamchukua mtu, humpiga hiyo ganzi, nyinyi mnamuona kalala, kumbe analimishwa usiku kucha!.

Wachawi wote hutumia hii out of body kukutana na kupanga mambo yao, hivyo kwenda out of body bila guidance, una bog chances au kukumbwa na wazee wa kupaa usiku ukaenda kufanyiwa initiation za kushiriki zile "karamu zao za usiku", na kuonjeshwa!, ukishaonja tuu!, huachi!.

Angalieni msiwapoteze watu wakajikuta wanaenda kusiko, na mwisho wa siku ni 'ever forward!, no turning back!"

Please watch out na kuweni waangalifu sana!.

Waponyaji wanazitumia nguvu hizi kuponyeshea, na wachawi wanazitumia kulogea!.

Masikini wanashindwa kuzitumia kwa kutojua, na matajiri, wanazitumia kutajirikia!.

Ningefurahi kama mafunzo yangekuwa how to use them to make a difference and not how to use them for fun!, kujifurahishia tuu!.

Pasco

MKUU NAOMBA UNISAIDIE KUFAHAMU HAPA .MIMI HII HALI INANIKUTA MARA NYINGI SANA.
INAKUAJE KUA NINAKUA OUT OF THE BODY NDIO MAANA NAPATA JINAMIZI?

Na je NI kitu gani kinasababisha nishindwe kupija kelele au kutoa sauti ?

Na je out of the body Ina maana roho yangu inakua pembeni ya mwili wangu AU ?
Naomba ufafanuzi kidogo hapa Boss ?
Na je vipi nita make vipi a difference KWA kuweza kua out of the body ?
Na
Kwanini wachawi hawatumii hii nguvu kujitajirisha ? Wengi wao ni maskin .
Ahsante KWA elimu yako utakayo nipa na ubarikiwe.
 
Mkuu
Rakims
msaada kwenye tuta.

P.
 
mwanzo mgumu

Boss Mimi hii kitu inanitokea SANA in my life ,tangu nipo mdogo mpaka
Sasa,HUWA nilikua najiuliza sana maswali ,thought mambo ya kiibilis ndio yananisumbua ,huwa napata mchana hata usiku pia ,HUWA siwez kulalia mgongo,just 5min napitiWA na kausingiz huku nikiwa awake ,so kutoka hapo kwakwel huwa ni struggle,the thing is huwa sipo aware kama
Nilikua naruka sijui nini but the struggle inaanZa pale ninapotaka kuamka,yani kurudi kwenye mwili ,ninatumia nguvu nyingi sana but ninakua nafeel KILA kitu but sometimes hiyo nguvu inanishinda ,then naanZa moja Tena ku fight mpaka inafika pahala nastuka kwa kuhema AU sometimes naweza kustuka haliyakua narusha mkono as if Nataka kumpija mtu ,

AU sometimes ninaweza kukaa tu hivi ghafla kausingiz kananipitia then naanzA kutumia nguvu kutoka kwenye huo usingiz,na kua napata struggle zile zile .

Je hii uta define Kama NI AP ?

Na je kama ni AP basi kurudi kwenye physical world sio mchezo mkuu ,the struggle is real ,kuna kua na shida fulan sio rahis tu .

Na je WHY Mimi si feel hiyo flying ,or going somewhere far ,just na feel pale ninapotaka kuamka tu Ndio na feel something na kuanza ku struggle.
Unaelezeje hii .

HII AP I guess NI nzur snaa kama
Watu wangekua wana tumia ki spiritually zaid,inakufanya unamtambua
Mungu zaid ,na kuishi kuimani zaid.haya mambo ya Does God exist ?yasingekuwepo.

KWA waislam -though hii kitu ni mjadala but it is said kua hata Muhammad alishawai kwenda mbigun kwa style
Hii katika safar ya miraj,though the story is not really clear Katika Quran (imetajwa kiufup sana) but imekuja kua demonstrated zaid kwenye Hadith .
Katika hichi kisa baadh Ya wanazuoni

Say alienda kiroho na mwili wake ,but others say alienda Kiroho tu ,just like AP(but was spiritually guided by his lord ) ,alienda had above mbingu ya saba just within a night ,few minutes .

hii issue ya AP NI more spiritual kwa watu wenye kujitafajari
 
Hapo unakuwa katika hali ambayo mwili unakuwa Umelala lakini mind inakuwa awake!!!
Instead of struggling to wake up unatakiwa u ignore milio inayosikika masikioni mwako kama kengele.

Muda huo huo unatakiwa utulie na ujaribu kutowaza lolote,(Hapa utahisi vibrations zinasambaa kutoka kichwani kwenda mwili mzima).

Baada ya muda mfupi wa high vibration, Utaanza kujihisi kama una miili miwili.
Hapo inatakiwa utumie akili yako kuamka na ukikosea ukataka kuamka kwa mwili wa kweli(physical body) ndio hapo pana shida.

Pia kama ulivibrate muda mrefu utashangaa umekuwa mwepesi kama puto na unaweza kuwa ume slide kutoka sehemu moja ya kitanda kwenda nyingine au unaelea hewani.. Hapo unakuwa upo nje ya mwili na hata ukigeuka nyuma unaweza kujiona ulivo lala!!!

Pia baada ya kutoka nje ya mwili unaweza fanya mengine unayoyapenda na kama utakavoelekezwa.!
 
That is it !! This is very true .Oh ! I should take advantage.thank you so much buddy ,I got the answer.

I am just re reading your words ,can't even finishing the words .Oh Ahsante sana for sharing .
 
MKUU NAOMBA UNISAIDIE KUFAHAMU HAPA .MIMI HII HALI INANIKUTA MARA NYINGI SANA.
INAKUAJE KUA NINAKUA OUT OF THE BODY NDIO MAANA NAPATA JINAMIZI?

Na je NI kitu gani kinasababisha nishindwe kupija kelele au kutoa sauti ?

Na je out of the body Ina maana roho yangu inakua pembeni ya mwili wangu AU ?
Naomba ufafanuzi kidogo hapa Boss ?
Na je vipi nita make vipi a difference KWA kuweza kua out of the body ?
Na
Kwanini wachawi hawatumii hii nguvu kujitajirisha ? Wengi wao ni maskin .
Ahsante KWA elimu yako utakayo nipa na ubarikiwe.
Ahsante kwa maswali mazuri mkuu ni kwamba,

Jinamizi ni reaction tu ya ubongo sio kiumbe kile ni kitendo kinachotokea ni hatua za kwanza za kutoka obe lakini pale mtu anapohisi amekumbwa na jinamizi kinachotokea huwa ni hiki.

Kawaida mtu ukilala chali mwili hupata safe body paralyses kirahisi sana na kwa muda mfupi tofauti na kulala mitindo mingine huja taratibu pia kuna watu kitendo hiki huwatokea pale wanapojigeuza chali hata kama ulilala kwa ubavu ndio maana white peoples hupenda kulala chali kwa sababu ukilala chali ni rahisi kuamka upo salama kuliko anaelala kivingine, ile ganzi tunayozungumzia ikimkuta mtu upesi kama kajigeuza basi kiasi kidogo huwa anakua awake sasa sehemu ambapo astral body hushikiliwa ni kwenye chakras tatu ambayo moja ni crown chakra(utosini) mbili ni third eye chakra(paji la uso) na tatu ni Throat Chakra(koo la chakula,

Sasa unapofanya spirit praction chakra saba zinatakiwa ziwe zimewaka ili uweze kuarchieve spirit world unavyotaka,
Na hazianzi juu kwenda chini zinaanza chini kwenda juu, hii huiona watu hata kwa waganga wanapooshwa dawa,
Huanza root ili kukuweka usiflow kutoka chini, huja kwenye womb pia kuna chakra ambayo huzima caluculation za tumbo hufuatia chakra nyingine ipo kwenye pancrease kongosho ambayo huwasha umeme wa chakra kubwa zinazofuata ambazo ni moyo ambao hureduce mapigo ya moyo ili kwa vyovyote vile usipate mishituko unayoiexperience kwa mara ya kwanza, halafu huja sasa throat chakra yani koo ambayo hii hukusaidia katika mawasiliano paina ya physical world na spirit word

Sasa nieleweke kua wakati throat chakra inawaka hata ndio watu experience ya jinamizi hutokea. Hujawahi kujiuliza kwa nini hili jinamizi hutokea hata kama umesali kwa imani zako zote na kwa nini haliuwi? Ni kwa sababu ni wewe mwenyewe ndio jinamizi hapa hakuna jinamizi,

Angekuepo basi hakuna mtu angekubali kulala..

Sasa pale inapowaka throat chakra ikitokea umeshtuka kutoka usingizini basi utakuta mwili wako wote wa chini haufanyi kazi ukiendelea kutulia basi huwaka na third eye ambayo hukuletea rangi za spirit world crown ndio chakra ambayo hukutoa ulimwengu huu kwenda spirit world,

Sasa ukianza kuhoji maswali akili yako kwa haraka na kulazimisha kuinuka hapo ndio chakra ya koo hupata kitu kama malfunction ambayo hupelekea kusinyaa kwa haraka sasa ili uweze kufukuza hiki mnachoita jinamizi au kujitoa kwenye hali hiyo kirahisi basi unatakiwa kuvuta pumzi ndefu mbili au tatu ambazo huzita chakra zote za chini na kurudi mode ya kawaida lakini usipofanya hivyo basi utahisi kukabwa koo na pia ubongo wako utakuundia picha ya mikono ili uweze kujikurupua kusaidia chakra zingine kuzima maana ni hatari chakra baadhi kuwaka na zingine zikiwa zimezima

Hupelekea watu kupata paralyses hadi kwenye physical world yaani kuugua kiharusi...

Jiulize pia kwa nini huyu mnaeita jinamizi hakukabi vingine zaidi ya kulala chali...

Kama kuna sehemu hujaelewa uliza..

Rakims
 
In the land of myth and time of magic the destiny of the great kingdom rest upon the shoulder of the young boy his name is SAMATA
 
Mkuu rakims kipindi cha nyuma kidogo nilikuwa nalala nikiwa nimewasha taa na nilikuwa sioti kitu chochote kile saiv nazima taa yaani lazima niote lakini sioti ndoto mbaya naomba kujuzwa lolote kuhusu hili
 
Mimi mwanangu huwa anapiga kelele usiku ni kama amekabwa ,
Nikimtikisa hutulia ..
Je, inawezekana mwanangu wa miaka 1.5 kuwa na AP?
 
Mwanga huwa unapoteza kumbukumbu ya unachokiota has a ukilala chali au kifudifudi na mfano Wa mitindo hiyo
 
Mimi mwanangu huwa anapiga kelele usiku ni kama amekabwa ,
Nikimtikisa hutulia ..
Je, inawezekana mwanangu wa miaka 1.5 kuwa na AP?
Umri huo unaona hadi malaika mashetani na wachawi akilala...
 
Back
Top Bottom