Wamtaa huu
Senior Member
- Jan 21, 2011
- 168
- 55
Naomba maelekezo ya kutengeneza document in pdf format.Nimehangaika nimeshindwa nika02a niwashirikishe wadau wa technology hapa.
Pia naomba kuelekezwa steps za kuweka window kwenye laptop.Inaniuma sana kulipia zaidi ya 20000Tsh pale ninapotaka kubadili window.
Ni hayo tu,karibuni
Pia naomba kuelekezwa steps za kuweka window kwenye laptop.Inaniuma sana kulipia zaidi ya 20000Tsh pale ninapotaka kubadili window.
Ni hayo tu,karibuni