Jinsi ya kutengeneza Pdf file

Hilo la Word kwenda Pdf, kama unatumia MS Word 2007/2010 basu huitajiki kuinstall kitu chochote, MS Word ina hii function ndani yake, unaweza kufanya hivyo kwa kwenda save as-->chagua pdf, there you go.


Kama unatumia office 2007 ni lazima upakue Add-in inayoitwa SAVE AS PDF toka microsoft una-instal kisha ndio unafanya kama alivosema kilingwe. Add-in yenyewe inapatikana hapa:
Download: 2007 Microsoft Office Add-in: Microsoft Save as PDF - Microsoft Download Center - Download Details
 
Back
Top Bottom