Jinsi ya kutengeneza Incubator isiyotumia Umeme

Kwani wanajua basi?!!! Ndiyo maana watu hawasemagi Siri wala kuweka vitu hadharani ila wanaona unasonga mbele tu! Unanunua incubator 1M+ plus liability ya umeme na matengenezo in case limeharibika!

Entrepreneurs are born aise! Ndo maana ukijaribu kuwatengeneza hawatengenezeki. Kila fursa haifai!
Niliwahi kusikia ukiyaweka mayai kwenye chungu na kufunika kwa pumba baada ya siku 21, vifaranga huanguliwa
 
small scale nyingi za mataifa ya nje hawanunui maicubator wao wanatengeneza wenyewe tena kwa vitu vilivyopo maeneo yupo. mfano wanatumia plain wood kutengeneza box, kinachozungusha tray ya mayai anatumia step motor. kubalance muda anatumia IC ya 555 timer ic. timing anaweka resistor. resistor ni sh100 x4, transistor 1500x2, capacitor 2x1000, kisha tengeneza unganisha... simple tu. kipima joto digital 8000,... sisi waafrica ni wavivu wa kifikra na ndo maana hatuna ubunifu. napo fanya kazi toka nimeingia kila jambo na solve mwenyewe sijui umeme ntafanya,sijui kuna kifaa kinashida ntafanya mimi. sitaki ujinga sai kuna net nasearch tu na kusolve
Kaka nimeipenda hiyo, ila inahitaji uwe fundi wa umeme kidogo ama vipi?
 
Jinsi ya kutengeneza Incubator Isiyotumia Umeme.
Clay incubator

1.Tafuta chumba kisafi sehemu ya kona ya chumba.
2.tengeneza Frame ya Incubator pande mbili.
3.Tengeneza Tray itayobeba mayai tumia (tumia way mesh yenye matobo madogo). tray iwe nakigo za kuzuia mayai kuanguka, kingo iwe ya wood.
width x height 50cmx60cm = 150eggs.
12cm x 1m = 200eggs.
12cm x 1.5m = 300eggs.
12 cm x 2m = 400eggs.

2. tengenza support ya Tray.
3. tengeneza support ya pili kwa ajili ya kuzuia sehemu ya juu itayofunikwa.
4. urefu toka chini ground.mpka kwenye Tray ni 20Cm
5.weka mchanga sehemu ya chini (ground) mchanga uwe na cm 2- 3 urefu.
6.sehemu mchanga upo mpaka sehemu ya juu kuwe na urefu wa cm 55jumla.
7.Zingatia urefu wa Taa ya chemli utayo tumia baadhi ni ndefu sana.
8.Tengeneza roof ya incubator kwa kufunika na Mchanga au matope (parment).
9. Sehemu ya mbele ya Incubator yako ifunikwe na Nailon Nyeusi ambayo imeshikizwa katika roof ya incubator.
10. Weka Mayai yako na uyaweke alama na ili wakati wa kugeuza usije sahau .
11. Washa chemli (uwe na thermomet ili kubalance joto iwapo litakua chini ongeza mwanga wa chemli,ikiwa litakua juu punguza mwanga wa chemli joto liwe 37- 39 C
12.Funika Incubator yako.
13 mayai yageuzwe walau mara mbili kwa siku.
Presentation%20of%20the%20clay%20incubator.jpg
Preparation%20of%20the%20hatching%20process.jpg
Closing%20the%20clay%20incubator%20door.jpg
Eggs%20marked%20for%20checking%20of%20turning.jpg
Welcome%20Keets_0.jpg
Hongera mkuu kwa kazi na ubunifu mzuri, Napenda kujua ufanisi wa kitotolesheo hiko ni kiasi gani? (Hatchability)
 
small scale nyingi za mataifa ya nje hawanunui maicubator wao wanatengeneza wenyewe tena kwa vitu vilivyopo maeneo yupo. mfano wanatumia plain wood kutengeneza box, kinachozungusha tray ya mayai anatumia step motor. kubalance muda anatumia IC ya 555 timer ic. timing anaweka resistor. resistor ni sh100 x4, transistor 1500x2, capacitor 2x1000, kisha tengeneza unganisha... simple tu. kipima joto digital 8000,... sisi waafrica ni wavivu wa kifikra na ndo maana hatuna ubunifu. napo fanya kazi toka nimeingia kila jambo na solve mwenyewe sijui umeme ntafanya,sijui kuna kifaa kinashida ntafanya mimi. sitaki ujinga sai kuna net nasearch tu na kusolve
Nimefika nilipotaka, nafurahi kwa maelezo haya, mkuu naomba kama unaweza kunielekeza namna ya kutengeneza au kupata thermostat ya ku-control joto kwenye incubator.
Nimeitafuta bila mafanikio, nilikuwa nawaza kufumua pasi ili nichukue ule mfumo wa joto ila gharama ya umeme ilikuwa inanitisha.

Please respond.
 
tatizo la thermostat ya pasi haina 'numerical control'
tafuta ready-made digital thermo controller ziko cheap sana (za kichina) pale aggrey k/koo,
ukitaka ufaidi tafuta mtaalam wa electronics akuundie nzuri, yenye numerical control,
 
muda gani hadi yai kuanguliwa ?
Jinsi ya kutengeneza Incubator Isiyotumia Umeme.
Clay incubator

1.Tafuta chumba kisafi sehemu ya kona ya chumba.
2.tengeneza Frame ya Incubator pande mbili.
3.Tengeneza Tray itayobeba mayai tumia (tumia way mesh yenye matobo madogo). tray iwe nakigo za kuzuia mayai kuanguka, kingo iwe ya wood.
width x height 50cmx60cm = 150eggs.
12cm x 1m = 200eggs.
12cm x 1.5m = 300eggs.
12 cm x 2m = 400eggs.

2. tengenza support ya Tray.
3. tengeneza support ya pili kwa ajili ya kuzuia sehemu ya juu itayofunikwa.
4. urefu toka chini ground.mpka kwenye Tray ni 20Cm
5.weka mchanga sehemu ya chini (ground) mchanga uwe na cm 2- 3 urefu.
6.sehemu mchanga upo mpaka sehemu ya juu kuwe na urefu wa cm 55jumla.
7.Zingatia urefu wa Taa ya chemli utayo tumia baadhi ni ndefu sana.
8.Tengeneza roof ya incubator kwa kufunika na Mchanga au matope (parment).
9. Sehemu ya mbele ya Incubator yako ifunikwe na Nailon Nyeusi ambayo imeshikizwa katika roof ya incubator.
10. Weka Mayai yako na uyaweke alama na ili wakati wa kugeuza usije sahau .
11. Washa chemli (uwe na thermomet ili kubalance joto iwapo litakua chini ongeza mwanga wa chemli,ikiwa litakua juu punguza mwanga wa chemli joto liwe 37- 39 C
12.Funika Incubator yako.
13 mayai yageuzwe walau mara mbili kwa siku.
Presentation%20of%20the%20clay%20incubator.jpg
Preparation%20of%20the%20hatching%20process.jpg
Closing%20the%20clay%20incubator%20door.jpg
Eggs%20marked%20for%20checking%20of%20turning.jpg
Welcome%20Keets_0.jpg
fani
 
Back
Top Bottom