Hunyu
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 4,775
- 4,316
Atakesha kama hana idea yeyoteHata ukigoogle unaweza kupata website zitakazoweza kukufundisha namna ya kutengeneza App for free
Atakesha kama hana idea yeyoteHata ukigoogle unaweza kupata website zitakazoweza kukufundisha namna ya kutengeneza App for free
Ukikosa pia nipm namba yako nikupigie tuongeeeWakuu wa jukwaa hili la tech. hali zenu? nahitaji kutengeneza, ama niseme kuwa na android application ambayo nahitaji iwe ni kwa ajili ya kuweka vitu mbalimbali kuhusu masuala ya afya...
Naomba kuelekezwa jinsi ya kutengeneza application kama hiyo na namna ya kuirun...so kama ni free naweza kutengenezewa msaada tafadhali wataalamu tusaidiane na kama kuna gharama nifahamu ni kiasi gani na procedure zake zi vipi??
Kwa haraka sana nahitaji kufanya hivyo.
Asanteni
[HASHTAG]#needtochangetheworldnow[/HASHTAG]
Yeah basi atafute mtaalamu huku ndani ya jukwaaAtakesha kama hana idea yeyote
OK mkuu njoo PM tuongee fresh kunakazi kama hio nishamtengezea mtu wa humuhumu jf sema bado ajaniruhusu niiweke play store ila naweza kukupa app uione sema yake ime base kwenye madawaNi natak,iwe app ya kutupia na kuweka taarifa mbalimbali za maswala ya afya.
Mkuu kwa hilo muone Stefano matongoo atakusaidiaMi naomba kufahamu gharama endapo mtu atanifundisha mwanzo mpaka mwisho... nawasilisha
Bakia hapa hapa JF, mambo mazuri yaja!Mi naomba kufahamu gharama endapo mtu atanifundisha mwanzo mpaka mwisho... nawasilisha
Nadhani kwa kuwa nimewaambia sitaki habari za Pm ndio maana wamegoma kujaKuna IT wengi sana bongo ila nashangaa mpaka saiv uzi huu haujajibiwa
Na mm naomba nitumie hiko kitabu mkuu hbiKwa uelewa mdogo nilionao juu ya hiyo kitu inabidi uwe na development framework eg, eclipse.. pia uongeze na extensions nyingine kwa ajili ya simulation ya apps utakazokua unatengeneza... kama hautojali nitumie email yako nikupatie kitabu ambacho kina maelekezo ya awali
tuma na hapa mtaliimweusii82@gmail.comKwa uelewa mdogo nilionao juu ya hiyo kitu inabidi uwe na development framework eg, eclipse.. pia uongeze na extensions nyingine kwa ajili ya simulation ya apps utakazokua unatengeneza... kama hautojali nitumie email yako nikupatie kitabu ambacho kina maelekezo ya awali