Jinsi ya kutega spy app

Jinsi ya kutega spy app

Mkuu pengine nia ya mtoa mada ni nzuri. Huwezi jua labda kuna majambazi yanataka kumtapeli wife wake akaona atafute namna ya kutrack kwa usalama wao.

Kama wapo angeweza kuongea na mke wake tu akaomba namba akawashughulikia mwenyewe, hakuna kitu hata kimoja kinacho-justify kumspy mke wako. Yeye kama anataka uwazi wakubaliane ku-share kila kitu na mke wake, zipo apps wanaweza ku-sync, kila kinachoingia kwa mmoja kiingie kwa wote, ila kumuwekea kisirisiri ni offense.
 
Inaonekana vema kumfanya mtu lakini ukifanyiwa wewe akaa! Unaona ni kosa.
Trust me hiyo kitu unaweza kutengana na mkewako mchana kweupe.
 
Ni simple sana kuspy mtu zipo apps kibao zinazofanya mambo hayo tena ni free
 
pia ukumbuke developer wa app inayospy ana uwezo wa kuona hivyo vitu vya mke wako sababu vinaenda kwake then yeye ndio anakutumia wewe.

siku ukikuta picha za utupu za mke wako kwenye internet usimlaumu mtu mchawi ni wewe mwenyewe

Wow! Sikuwahi kufikiria jambo hili, pokea like mkuu.
 
we nenda fb watakupa humu wachoyo wa apps spy na ikiwezekana Google utapata apps kibao na maelekedho ake ila mi cmo nimejitoua thanks
 
Back
Top Bottom