Jinsi ya kutayarisha udugu uziooza

Jinsi ya kutayarisha udugu uziooza

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
19,977
Reaction score
37,879
Chukua kiasi kikubwa cha HURUMA, angalia kisiwe kikubwa sana, na changanya na bakuli 1 lililo jaa UKARIMU, Ongeza vijiko 3 vya WEMA, kisha koroga pamoja , baadae chuja ili kuondoa taka za CHUKI, KIBURI, UBINAFSI, UCHOYO, WIVU, UONGO na MAJUNGU, ongeza kijiko1 cha TABASAMU ili kuufanya uchangamke , kisha ufunike n na sufuria la UKWELI , ili uumuke baadae pasha taratibu kwa joto la UAMINIFU . Kula kwa KUJIAMINI.

TAZAMA JINSI ILIVYO VEMA NA KUEPNDEZA , NDUGU WAKIKAA PAMOJA KWA UPENDO.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom