Laface77
JF-Expert Member
- Jul 9, 2008
- 2,117
- 2,845
Hivi ndivyo mwanafunz wa form 4 2012 alivyojibu kwenye pepa ya Kiswahili!
Swali:Eleza hatua za kuandaa MDAHALO.
Mwanafunz akiwa hajui maana ya MDAHALO alijibu hivi......1.Unauchukua mdahalo wako unauosha vizuri2.Hakikisha Mdahalo wakohaujakomaa3.Bandika sufuria yako jikoni4.Weka mdahalo wako kisha uache uchemke kwa dakika kumi na tano5.Mdahalo wako ukiwa tayar uepue 6.Mdahalo huu unaweza kuula na kinywaji chochote.