neggirl
JF-Expert Member
- Jul 30, 2009
- 4,864
- 2,157
Hivi ndivyo mwanafunz wa form four 2012 alivyojibu kwenye pepa ya Kiswahili!
Swali:Eleza hatua za kuandaa MDAHALO.
Mwanafunz akiwa hajui maana ya MDAHALO alijibu hivi...
1.Unauchukua mdahalo wako unauosha vizuri,
2.Hakikisha Mdahalo wako haujakomaa,
3.Bandika sufuria yako jikoni,
4.Weka mdahalo wako kisha uache uchemke kwa dakika kumi na tano.....
5.Mdahalo wako ukiwa tayari uepue
6.Mdahalo huu unaweza kuula na kinywaji chochote..
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums