Jinsi ya kutamka maneno haya ya Kiingereza

Jinsi ya kutamka maneno haya ya Kiingereza

Sawa kabisa mkuu Kilembwe, naona mkuu Mazigazi ana mlima wa kupanda kweye hii lugha.Lakini nina imani atafanikiwa akiendelea na juhudi alizonazo.

Mkuu nimejichanganya tu but well said hi sio madha tang yetu so hiiiviii hiivii "one day yes no more vilevile " I wanna be like a cockney from London hahahahh
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom