Mc Tilly Chizenga
JF-Expert Member
- Feb 7, 2012
- 4,641
- 3,675
Mimi nina 45, je wewe katika makadirio yako kutokana na maandishi yangu ulikadiria kuwa nina miaka mingapi?
Hahaha!Mkuu, hivi mara ya mwisho uliona maandamano lini?
kuweni makini
nahisi ntaharibiwa muda si mrefu
mie nina 16, please kubalini basi
sasa wanaoanzisha topic kama hizi za kutaka kujua umri wa mtu nao wanakuwa na umri gani? manake ukifikia umri wangu u stop counting and avoid besdeiz
hoto:
kuweni makini
nahisi ntaharibiwa muda si mrefu
mie nina 16, please kubalini basi
umri hauna dili
Nambie umri wangu
30-40!
Ukweli gani ndugu?
Anayejua umri wangu ni mama yangu aliyenizaa. Wewe ume guess tu na umekosea. Sasa nisiseme kama umekosea?
Au wewe ndiyo mama yangu mzazi? Lol
Manake JF msitu....unaweza kabisa ukawa ndiye mama yangu mzazi uliyenizaa.